Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kati ya dramanice na dramania ipi ina movie nzuri zaidi?
 
aigooooo nina siku 3 siijaangalia drama yoyote
Lol! Pole Ila Ni Nzuri Na Huu wakati Ma Maguu Ni Mchakamchaka ..

Ila Hii Kitu Nayo Inataka Kuniingia Kma QD7,Ina Miondoko Flani Hivi Ambayo Sijaiona Kwenye Drama Nyingi Nilizoangalia Ina Mihemko Flani Ivi Yaani! Waooo, Ukipata Time Icheki Pleez Ipo Episode Ya Nne Sa Ivi...
 
nimeangalia episode ya 1 inaonekana ni nzuri sana
 

Ni Second Lead Kwenye The King Love, Siataki Kubadirisha Mawazo Yangu Lakini Jinsi Inavyotaka Kwenda Kama Vile Moyo unataka Kupingana Na Macho Vile,
Mpaka Episode Ya Jana Ni Ananipa Matumaini Ya Kutokukosea Kwangu..
 

Ni Second Lead Kwenye The King Love, Siataki Kubadirisha Mawazo Yangu Lakini Jinsi Inavyotaka Kwenda Kama Vile Moyo unataka Kupingana Na Macho Vile,
Mpaka Episode Ya Jana Ni Ananipa Matumaini Ya Kutokukosea Kwangu..
Anafanana sana na kim woo bin
 
nimeangalia episode ya 1 inaonekana ni nzuri sana
Iko Vizuri Sana, Kwanza kwenye Wanaziita (Hanbok) Ni kama Mavazi Vile,Mavazi yao yako tofauti kidogo na Historical Drama Nyingi Na Maeneo Walochezea Yako Tofauti Pia,Mandhari Yake Ni nzuri Balaa..

Nimewapenda Walinzi wa Crown Prince (Wang Won) Wako Fasta Sana na Kama Vile Wanamjua Zaidi Boss Wao Na Ata Uyo Fav Second Lead Naye Ni Cheche.

Yoona (San) Ni Shida Nyengine Yuko Tofauti Sana Umu Ndani Kama Nilivyomtabiria, Ameiigiza Kama Ucheche Flani Ivi (Safi Sana).

First Lead (WANG WON) Ngoja Kwanza Uyu Nimuandalie Maneno Yake,Ndo kwanza Namuona Kwenye Drama Kwaiyo Nategemea Ubora Wake Pia

Korean Actor and Atress,Sijuhi Yaani Sijuhii...
 
Nataka Nikimalizi Izi Ongoing Drama, Nipumzike Kwanza Kidogo Awa Watu Wanawenza Kukutoa Kabisa Kwenye Huu Uso wa Maguu Ukajashtuka Wenzako Wamekuacha Yanni, Aigoooo
 
Mimi huwa na penda historical drama zenye action pia napenda drama za horror na thriller or criminal

Drama nazo zipenda na ambazo hazinichoshi kuangalia ni
1.king GWANGGAETO
2.king DAE JO YOUNG
3.ROARING CURRENTS (movie)
4.SIX FLYING DRAGONS (hasa episodes #17 #18)
5.THE ROYAL GAMBLER
Zipo nyingi sana lakini hizo huwa I can watch them a hundred times bila kukinai

Kwa upande wa Actors wapo wengi sana kama mnavyojua Korea wamebalikiwa kuwa na talented people.kwa mm wasanii ambao huwa siachi kuangalia kazi zao ni
1.LEE JAE-YONG


Mzee amecheza drama nyng mno pengine hata mwezi huwezi kufikia nusu kuzcheki
i.a man called god
ii.empress ki
iii.ruler:master of the mask
iv.jumong
v.the royal Gambler (jackpot)
vi.3 days
vii.the fugitive of joseon
viii.war of money
ix.emperor of the sea
X.lobbyist
x.swallow the sun
Zpo nyng sana mm nmecheki hizo na nyinginezo kafanya vizuri sana

2.AHN KIL-KANG


Huwa namuelewa sana akishika panga huju jamaa kacheza
i.jackpot
ii.bad thief,good thief
iii.six flying dragons
iv.3days
v.gye baek
vi.slave Hunter
Vii.iljimae
Viii.queen seondeok

3.LEE MOON-SIK

Huyu kacheza hizo
DAMO
ILJIMAE
JACKPOT
QUEEN SEONDEOK
INCARNATION OF MONEY
MR. BAEK
THE DUO
GIANT
Moorim school

4.JEON KWANG-LEOL


Mzee flan maarufu hv kama utakua umechek
JUMONG
SWALLOW THE SUN
JACKPOT
FLOWER IN PRISON
HELLO MONSTER
WARRIOR BAEK DONG SOO
KING AND I

Mwingine actor ni
KIM SANG-JOONG


Ukitaka kujui ni jinsi gani hao ACTORS wanaweza angalia Series na movie zao
Aliyecheza km adui kwenye city hunter pia baba yake hongera il-dong kwenye rebel:the thief who stole people

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kuanza kumfuatilia huyo mzee

Don't tress urself with knowing all answers to every question. Don't worry nobody will be clever enough to ask you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…