Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Iyo Namba Moja Na Nnee Nawakubari Sana, Uyo No 1 Now Ni Teacher Kwenye SCHOOL 2017 Ame act kama Wale Walimu Wanoko kwa Wanafunzi Ila Nimempenda Alivyocheza
Uyo No.4 Kwenye Warrior Baek Dong Soo Nilimlike Sana Ali Act Vizuri Sana Alinifanya Nikatoa Chozi. Ndo Uzuri Wa Korea Uo,Ni Kma Kiwanda Kinachota Au Dharisha Bidhaa Kila Siku..
 
hahahahaaaa mimi mwenyewe nimepunguza sana kuangalia
Mi Nilipumzikaga Kuna Kipindi Flani Ivi Lakini Nikaona Kama Napitwa, Ila Sa Ivi Itabidi Nipumzike Na Ata Kubadirisha Vifaa Ninavyotumia ili Nisione Kabisaa..
 
Sa Juzi Pia Imeaanza Nyengine Iyo Inaitwa FALSIFY Amecheza Kijana Mmoja Ivi Alocheza Kwenye REMEMBER, (Namgung Min) Sa Nimejitahidi Kutoifatilia Lakini Naona Inanivuta Vuta, OK Sijuhi
 
Episode 17,Leo Kwetu Badae O Usiku Sana Iliyo SUB Tayari...
 
Sa Juzi Pia Imeaanza Nyengine Iyo Inaitwa FALSIFY Amecheza Kijana Mmoja Ivi Alocheza Kwenye REMEMBER, (Namgung Min) Sa Nimejitahidi Kutoifatilia Lakini Naona Inanivuta Vuta, OK Sijuhi
Huyu jamaa atakuwa mkorofi kweli maana sio kwa uhalisia ule.
 
Ndiyo sehemu zake hizo,nilimuona pia kwenye 맨 투 맨(man to man) japo kaoneshwa kidogo tu ila alikuwa anafahamika kama ni mtu mkorofi.
Iyo Lugha Apo Kati Hmm!!! Hahahaha ata Umu Pia Ni kama Vile anamtafuta Muuaji Alomua Kaka Yake Sa Kaamua Kujiingiza Kwenye Uandishi Wa Habari Kazi Ambayo Kaka Yake Alikuwa Anaifanya, Sasa Uo Uandishi wenyewe anavyoufanya Ni Vituko Tuh...
 
Ulivyonielezea nimekumbuka nimeona trailer nitaitafuta.
 
The Wait Is Over, CRIMINAL MINDS Ndani Ya Screen Zetu, Lee Joon Gi Babaa
 
Izo Sura Tatu Apo Juu Ukiziangalia ata Kwa Kupitisha Macho Tuuh,Unaona Kabisa Ni Watu Ambao Wapo kwenye Hali Gani
Acting Yao Ni Inaanzia Usoni Mwao,Uso Unaelezea Kilichomo Ndani ya Nafsi zao kuwa hii kazi Wanayofanya Ni Kitambulisho Tosha cha Uhakika Wa Ugali Wao wa Kila Siku Na Apo Inabidi Aweke Juhudi Zake Zote Ili Kesho Umuuone Tena Kwenye Kazi Nyengine...NIDHAMU YA KAZI...
 
aaaah mi kulia na wakorea nshachoka ujue utasema kweli.afu nimewapendaje ote mtu na kaka ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…