Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Japo kwa ufupi tu tujue inahusu nn sasa
Ni Historical Drama Inayohusu Mapinduzi Ya Jaseon Dynasty,Na Katika Ayo Mapinduzi Kulikuwa Na Team Kuu Yenye Mjumuuisho Wa Watu Sita Akiwa Muhusika Mkuu Wa Aya Mapinduzi Ni Lee Bang Won( Yoo Ah In), Kutoka Katika Mikono Ya Wadhurumaji Na Wanaoenda Tofauti Na Matakwa Ya Wananchi..Iyo Ni Kwa Kifupi Ila Ni Nzuri a k a Cheche
 
Japo kwa ufupi tu tujue inahusu nn sasa
Six flying dragons
2016/2017
Ep#50
Historical drama

Kwakfup hii drama imejarbu kuelezea jinsi JOSEON DYNASTY iliyoanzishwa hasa ikimgusia 3rd King of joseon KING SEJONG (Lee bang-won) alivyomsaidia baba yake KING TAEJO kuanzisha joseon pia

Drama pia imegusia best swordmen kadhaa hivi ambao wamesumbua sana kwenye hii Series ambaon
1.lee bang-ji/Ddang saw


2.gil tae-mil


3.moo hyul


4.gil sun-mil


5.cheok sa-gwang


Baadhi ya scene ambazo huwa nimetokea kuzipenda n hz

1.episode #18

2.
3.
4.
 
Nimejikuta Naitamani Kuiangalia Tena...Aigooooooo
 
Nilimkubali Sana Mo Hyul, Hii Drama Nilikuaga Naangalia Na Dogo Langu Mmoja Ivi Yaani Mpka Leo Umwambia Kitu Kwa Moo Hyul,Ila Lee Bangi Ji Kacheza Sana Umu Ndani...Dooohh Nimejikuta Nawakumbuka Etiii
 
Historical Drama mm ndio uniambii kitu
 
Yaah Autojutia...Ina Mtiririko Mzurii Sana,...Sema Uzuri Wa Korea Ndo Uo
Ulishawahi Iona The Land of Wind?
Mkuu sasa mbona hukuniambia toka zamani, wakat nilikwambia unijulishe Historical Drama za Korea zilizo poa ili nizitafute
 
Mkuu sasa mbona hukuniambia toka zamani, wakat nilikwambia unijulishe Historical Drama za Korea zilizo poa ili nizitafute
Hmmmmm! Pole Nilikosa Nafasi Na Nilijua Utakuwa Ushaziona Sababu Mi sijaziona Nyingi Sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…