Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wadau website gani ntapata Kdrama za zenye Mb dogo maana naona website kama Dramafire. com series zina Mb kubwa kwa Ku dowload

Sent using Iphone 7+
 
Ki ukweli wenzetu wamejaaliwa kuwa na ubunifu wa hali ya juu sana katika kutoa burudani kwa kuhakikisha anakamata hisia zako pale unapokuwa unatizama kazi zao. Wanafanya vizuri sana na hii ikichangiwa pia na tekinolojia waliyo nayo kuwa juu.
Kwangu mimi naona USA iko juu sana katika utoaji wa Movies and Tv Series (kusema hivi simaanishi kuwa wengine hawatoi kazi nzuri, lahasha!! Wanatoa kazi nzuri ila USA is the best)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania walio wengi hawawezi kuangalia muvie au series na kusoma subtitle kwapamoja ndo maana wanaona kuwa USA wako juu zaid na zaid ya nchi za Asia hususan korea na china katk tasnia ya filamu.
Kiukweli wakorea na wachina ni mafundi sana kwa kuigiza drama za kihistoria kuliko nchi zengine duniani kwa sasa, hii ni kwasababu nchi zao zilipitia mambo mengi sana kipindi hicho na pia walikuwa na lugha na maandishi yao wenyewe tangia enzi hizo BC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…