Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kwa Mimi Hiyo ndo Naona Ina Mb Ndogo Ukilinganisha na Myasian Au Dramanice...Wadau website gani ntapata Kdrama za zenye Mb dogo maana naona website kama Dramafire. com series zina Mb kubwa kwa Ku dowload
Sent using Iphone 7+
Yah Nilisahau Kuedit Ni Movie Ndio...Ni movie na si drama
Za kupotea!?Ni movie na si drama
hii drama naichekigi dramania sema sasa ipo vipande robo saa robo saa viwili so episode moja ni nusu saa sijui kwann wameiweka ivyo npo episode ya 24![]()
Wang Won Anakutana Na Mwalimu wa San
Watanzania walio wengi hawawezi kuangalia muvie au series na kusoma subtitle kwapamoja ndo maana wanaona kuwa USA wako juu zaid na zaid ya nchi za Asia hususan korea na china katk tasnia ya filamu.Ki ukweli wenzetu wamejaaliwa kuwa na ubunifu wa hali ya juu sana katika kutoa burudani kwa kuhakikisha anakamata hisia zako pale unapokuwa unatizama kazi zao. Wanafanya vizuri sana na hii ikichangiwa pia na tekinolojia waliyo nayo kuwa juu.
Kwangu mimi naona USA iko juu sana katika utoaji wa Movies and Tv Series (kusema hivi simaanishi kuwa wengine hawatoi kazi nzuri, lahasha!! Wanatoa kazi nzuri ila USA is the best)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu gani chiefBado zipo mimi kuna sehemu nanua ubungo hua wanakua nazo zote
Giant aandae na taulo lakufutia machozi aisee,iliniliza mnoMm pia...naskia ni nzur lakin muda naipata IRIS...ilikua ishaangaliwa na wengi...so nikaachana nayo...Huntsman em tafuta GIANT....alaf utakuja kuniambia mwenyewe...
Ni tam mno kasoro mbili za mwisho ndo cjazionaAigoo Aigooo kitu cha IRRIS, CITY HUNTER, QUEEN OF AMBITION, EAST OF EDDEN, JUMONG, A MAN CALLED GOD duu in short wapo vizuri sanaa
Noma sana wale wadada Wa mishaleArrow on the bowstring,yaan sijaonaa aiseee ,ofisa nkai,iyan na mdogo wake,bijan,kaisari,general na kaka yao iyan sijaonaaaa
Yaani nilitokea kumchukia kisa ile movieGiant kiboko aiseee jo pilyeon mzee katili kulko lol