Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

nimeanza jana kuiangalia ila huu uhusika wa mfalme sijaupenda anaonekana ni kama puppet king
Yah Ni Puppet na Yule Secretary Wake Ndo AnaeMzuzua, Kaamua Kumpelekea yule Mwanamke Wake Ili Akawe Kimada Wa King Ili Apate Kumzuzua Vizuri...
Yule Secretary Ataki Nchi Aishike Wang Won Kuna Mtu wake Anataka Kumuweka

Ila Episode ya Wiki Hii Imenifanya Ata Nisiendelee Kuitazama....Aigooooooo
 
Na Akaamua Kumchagua Mwanamke Ampendaye

Mashabiki wengi Walipanick kwenye Hili kuwa Aliamua kumuacha Rafiki Yake na Kumchagua Mwanamke Ambaye Mwisho Wa Siku Htakuwa Msaada Kwake...

Ila Mapenzi Yake Ya Kumpenda Rafiki na Mwanamke Yanamuweka Pabaya Sa Ivi....
 
Uwii Damushin hebu waambie ndugu zako wanipumzishe jamani daah yaani kitu juu ya kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…