Nimeiangalia Ila kuendelea kuiangalia APA ndo nawaza Wang Won anampenda Sana Lin na Anamchukulia kma Zaidi Ya Rafiki Ila Coz Ya San Lin Atamgeuka Won ndo Episode hii inayofatakwa nini hujaangalia?
wang won ana damu ya watu wa mongolia ndio maana anachukiwa
ok basi ngoja nijikaze nifike angalau ya 26Nimeiangalia Ila kuendelea kuiangalia APA ndo nawaza Wang Won anampenda Sana Lin na Anamchukulia kma Zaidi Ya Rafiki Ila Coz Ya San Lin Atamgeuka Won ndo Episode hii inayofata
Uyo Yuko Side Ya Yule Song in Secretary wa King Na ndo uyo Anaetoa habari Uku nakupeleka Kule kwa Song In...nimetokezea sana kupenda uhusika wa wang lim ila sitaki niwe kama wang lim.
huyu mzee anayefanya kazi kama eunuch wa malkia ni mkorofi sana nina wasiwasi kwenye dawa ya malkia anamuwekea kitu chenye kumzuru
cheko lake tu mimi hoi bin taaban bin mautinasubiri vicheko vya jang hyuk
Anhaaa Uko Mbele ndo kutamu Zaidi, Japo wanasema According na Novel Ni kuwa Won ndo Atamgeuka Lin ila kwa invyoonekana ni Lin ndo Atageukaok basi ngoja nijikaze nifike angalau ya 26
Uyu MTU Acha Tuuuh .....Namsubilia kwa Matashtitihahahahaaaaaa kyeopta (cute). mimi naupenda sana wimbo wake unoitwa return
[emoji23] [emoji23] [emoji23] khaa yaani hawa wanajua kutuweka bizehahahahaaaaaa inaonekana hawa madirector wa kikorea kwao wao ni rahisi sana kuandika story za drama na hawaishiwi story.
Af hiyo Tunnel sijaiangalia ujue...ngoja niitafutehahahahaaaaa anapumzika si unajua mwaka huu ameigiza drama ya tunnel na imefanya vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejikuta naangua kichekonasubiri vicheko vya jang hyuk
Anhaa!! Scarlet tayari Labda Izo Nyengine...kwa kuwa ni drama inayozungumzia taifa la goryeo basi nafikiri shine or go crazy na scarlet heart ryeo wanavaa mavazi kama haya
aigooo oppaa ulinisahau kuniita.......mi ndo fan wake nambari 1 wengine wanaiga.hahahaaaa lile cheko ni halisi ama igizo tuaigooooooo mianhae nimesahau kukuita kumbe team jang hyuk mupo wengi sana. nina wasiwasi kwenye drama hii mpya atavunja rekodi ya kucheka
nimeamini kama wewe ni number 1 fans wake, basi hii thread inakuhusuaigooo oppaa ulinisahau kuniita.......mi ndo fan wake nambari 1 wengine wanaiga.hahahaaaa lile cheko ni halisi ama igizo tu
af metazama drama zake hizi tu kuna nyingine may be cjaziona Damushin?
slave hunter
tree with deep root
shine or go crazy
fated to love you
tazza
beautiful mind
the voice
inaonekana king in loves bajeti yake ni kubwaAnhaa!! Scarlet tayari Labda Izo Nyengine...
Ila Umu Aya Mavazi Yao Mwee!! Uyo Mbunifu Wao kazi Kaifanya...
Yap,Tena Sana Yaani Maana Zile Mandhari Zao Sijuhi Ni Mji Gani Ule! Au ni Korea Kule Kule?inaonekana king in loves bajeti yake ni kubwa
sijafuatilia lakini inawezekana yote imefanyika location nchini korea au nusu location yake imefanyika nchini chinaYap,Tena Sana Yaani Maana Zile Mandhari Zao Sijuhi Ni Mji Gani Ule! Au ni Korea Kule Kule?
Maana Ata Ukiangalia Magauni Yake Mama Wa WON Ni Hatari..\
Ushamaliza Kuaangalia?
yaaah iris 2 nilisahau.............the merchant gaekju ni ya mda?IRIS 2
THE MERCHANT GAEKJU: kwenye drama ya the merchant gaekju mwanadada aliyeigiza naye pamoja anaitwa Han Chae Ah ndiye ambaye amechaguliwa tena kuigiza kwenye drama mpya. humu anacheka mnoooo.
namuelewa sanaaa...............asantenimeamini kama wewe ni number 1 fans wake, basi hii thread inakuhusu
Jang Hyuk 장혁