Huyo Siwan anatumikia jeshi mbona kadogo
KING LOVES CAST AND CREW VISITS SIWAN IN THE ARMY..
So Good..
Hahahaaa ana miaka mingapiDuuh nimekagugo kumbe kamekula chumvi nilijua labda kapo kwenye early 20s
Eti 28 aiseeHahahaaa ana miaka mingapi
Inasumbuwaga wengi ila wazoefu haisumbui au kama vipi udownload application ya dramania ndo unadownload bila michoshoNiliingia nikakutana na mambo kibao na vile nisivyopenda shida nikaipotezea
Jamani kwa wapenzi was Korean drama majibu pls I'm a fun of this thread, tupeans taarifa jamaniJamani ninaomba kuuliza, naomba nifahamu list ya drama ambazo ziko kama jumong, yali zinaelezea lifetime ya MTU mfano jumong inaelezea kuanzia akiwa kijana hadi alipofikia malengo yake,
Majina Tu ya hizo drama yanatosha,
Natanguliza shukrani
Jamani kwa wapenzi was Korean drama majibu pls I'm a fun of this thread, tupeans taarifa jamani
Day!nashkuru sana, umeokoa Massa kadhaa ya kutafuta muvi ya kuangalia kwa wote wansosoma thread hii
Cheki izo nahisi una maanisha historical drama
www.drama3s.comMsaada was link ya kudownload six flying dragons
Inaonekana zamani walikuwa hawanyoi sanaKwa nn historically drama nyingi za korean most actor wanakuwa na nywele mingi yaan wanatumia wigi