Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ila Kwanza Nikushauri Ungeanza Na Rebel,Thief Who Stole The People, Kwanza Bado Mpya Mpya(2017) Na Ni Nzuri Sana Inaanzia Wadogo Mpaka Watu Wazima Na Inaelezea Utumwa...Utaenjoy Weekend Yako Dear Itafute Iyo..
Ipi maana umeweka Zaid ya moja
 
Huyu jamaa namkubali kinoma kama navyo mkubali aminas
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka mwenzie mpaka kutaka kununua magari dabodabo. Ila inainyesha zilikuwa kweli maana episode hii ya saba kuna mahali walipoenda kutafuta ushahidi walikuwa wanaonyesha ile droo kwenye TV iliyokuwa pale ukumbini
Hata mm naona ilikuwa kwel
 
mazee Suzy anajua naichek uncontrollably fond nackia mwisho inahuzunisha ka moonlovers ila dah dem ni hatar
 
View attachment 606035
Happy birthday Your Highness, mwanamke mrembo mwenye bahati yake...Mungu akupe maisha marefu wewe na bae wetu
Ni Vizuri Sana Ukamkubari Mke Mwenza Na Mkawa Mnaelewana Kama Ivi.

Heri Yake Ya Kuongeza Umri Mwengine..

Kati Ya Mabinti Wa Kikorea Ninao Wakubari Sana Kuanzia Kazi Yake ya kwanza Mpaka Hii, Hongera Zake..

Damushin Mi Sijuhi Jinsi ya Kuunganisha Zile Video Za Youtube Naomba Uunganishe Ile Ost Yake Ya Kwenye Gu Family Book, ''Don't forget Me''.
 
[emoji23] [emoji23] raha sana ukiukubali ukweli. Mimi court lady nashindanaje na Queen sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…