Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Damushin sunbae-nim,
Nimemaliza kuangalia "Oh My Geum Bi". Bando langu lime-pay off na wala sijutii kuitazama! Machozi yamenitoka kwa wingi.. Nipe nyengine, sunbae!
mimi nimeanza kuangalia temperature of love. ipo vizuri sana na nimevutiwa zaidi na muigizaji mkuu wa kike seo hyun jin yupo vizuri sana ukilinganisha na waigizaji wengine wa kike wa korea ambao wanapewa promo sana na vyombo vya habari.
pia nimevutiwa sana na kim jae wook hyungnim ambaye kwenye kingdom of the wind alicheza uhusika wa chubalso, natamani apewe nafasi ya muigizaji mkuu kwenye drama yoyote ile.temperature of love ipo vizuri sana na mara hii SBS tv drama awards ni balaa
 
Na mimi nasubiria majibu ya haya maswali maana detective Han uwepo wake tu ulikuwa unanichanganya sasa kaja na huyu grim reaper ndo nimechanganyikana kabisaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nilikutolea povu mbona unapenda kunisingizia lakini? Nilikuwa naona uvivu kuendelea tena ila nimeona wacha niimalizie tu
sasa nimekuelewa.kumbe ilikuwa ni wivu wa bae suzy kwa minoz. mian hae noona
 
Kuna Page Moja Instagram Nimeona Wanaisifia Sana..

Na Hii Nayo Utaiachia Kati....?
 
Na mimi nasubiria majibu ya haya maswali maana detective Han uwepo wake tu ulikuwa unanichanganya sasa kaja na huyu grim reaper ndo nimechanganyikana kabisaa
hahahahaaa balaa na waafrika akili zetu zinapenda mambo mepesi tu (kwa sauti ya trump). gream reaper amejiingiza kwenye mwili wa detective Han moo gang
 
yaaani mpaka leo najiuliza aminas amepatwa na kitu gani mbona nikiingia kwenye account yangu sioni jibu lolote
Nilibanwa Nikashindwa Kuja Kuongeza Povu...

Njiandaa Na Maandalizi Si Unajua Bae Mkubwa Next Week Ndo Anarudi Kwaiyo Niko Busy Kupanga Mipango Nakuweka Sawa Mambo...

ila Kikweli Niko Tyari Kuwa Jino Na Jino Na ........... Naogopa Kumtaja
 
Kuna Page Moja Instagram Nimeona Wanaisifia Sana..

Na Hii Nayo Utaiachia Kati....?
ipo vizuri sana na cha kuvutia uyo mwanadada anajikuta akipendana na kijana ambaye amemzidi umri sasa mama wa kijana hapendi.
 
Nilibanwa Nikashindwa Kuja Kuongeza Povu...

Njiandaa Na Maandalizi Si Unajua Bae Mkubwa Next Week Ndo Anarudi Kwaiyo Niko Busy Kupanga Mipango Nakuweka Sawa Mambo...

ila Kikweli Niko Tyari Kuwa Jino Na Jino Na ........... Naogopa Kumtaja
naomba umtaje leo nitakuunga mkono kwenye vita ya maneno
 
ipo vizuri sana na cha kuvutia uyo mwanadada anajikuta akipendana na kijana ambaye amemzidi umri sasa mama wa kijana hapendi.
Daah Sa Ivi Sitaki Kujaza Aya Mambo Mpaka Leo Hospital Ship Sijandelea Nayo Nimeisitisha,..

Niko Na Black Na Uyo Suzy...Maana Now Niko Tyt Ndomana Naogopa ATA kuanza Drama Mpya
 
sasa nimekuelewa.kumbe ilikuwa ni wivu wa bae suzy kwa minoz. mian hae noona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wivu tena loh ningekuwa na wivu nisingeanza hata kuiangalia. Basi leo nimeota nimemuona bae yupo na zile nywele zake alizokuwa nazo kwenye Boys Over Flowers....akawa anakuja mbele yangu anatabasamu then anapotea. Nilivyoamka nimechukiaje
 
aigooooooo unapaswa umtafute jae chan ili apate kuibadilisha ndoto yako
 
Daah Sa Ivi Sitaki Kujaza Aya Mambo Mpaka Leo Hospital Ship Sijandelea Nayo Nimeisitisha,..

Niko Na Black Na Uyo Suzy...Maana Now Niko Tyt Ndomana Naogopa ATA kuanza Drama Mpya
medical drama hazini vutii sana na ndio maana sijaitafuta hospital ship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…