omo omo omo ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta thread nyengine nzuri za kuchangia hivyo basi naomba unisaidie hyungnim kutafuta.Kweli mkuu! Wakongwe wengi tuliooanza nao wengi wamepotea! Sijui tatizo ni nini!
Wao ndio walioutambulisha huu ulimwengu wa KDrama kwetu.
Sunbae, Damushin! Ukihama huu uzi basi nishike mkono tuhame pamoja.
aigooo leo tupo kwenye msibaHahaha @unamvimbisha kichwa hachelewi kuhama huyo
Hivi ishara hii ina maana gani naona hata when you were sleeping maza hausi anaonesha ishara hii
Maskini wee nashukuru sijawahi kumuona poleni na msiba Korean family.[emoji24] [emoji24]breaking news
muigizaji kim joo hyuk amefariki dunia leo hii baada ya kupata ajali ya gari majira ya saa 10:30 jioni kwa saa za korea.miongoni mwa drama alizoigiza ni pamoja na god of war na drama ya mwisho kushiriki ni ARGON
pumzika kwa amani ahjussi
Iyo Ni Ishara Ya Moyo....Ishara Ya UpendoHivi ishara hii ina maana gani naona hata when you were sleeping maza hausi anaonesha ishara hii
MBELE ZAKE NYUMA YETUU...breaking news
muigizaji kim joo hyuk amefariki dunia leo hii baada ya kupata ajali ya gari majira ya saa 10:30 jioni kwa saa za korea.miongoni mwa drama alizoigiza ni pamoja na god of war na drama ya mwisho kushiriki ni ARGON
pumzika kwa amani ahjussi
Mimi niliangalia nusu sikumaliza ila haina action kali.Wakuu nauliza kwa aliyeiangalia goodbye mr black.
Je ina action kaliii?
Maana nataka kuanza kuidownload niiangalie..isije nipotezea mb zangu na usingizi wangu
Lkn story yake ni kali??Mimi niliangalia nusu sikumaliza ila haina action kali.
Story sio mbaya.Lkn story yake ni kali??
Thanks Na Ubarikiwe Eryday Mpendwa.....labda jaribu hii
Watch Ae Dil Hai Mushkil Online For Free On 123movies