Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna jamaa anaitwa Lee Ji Hoo alicheza glass mask ya 2012 as a prosecutor ningependa kujua alicheza drama ipi nyinginge!??
 
aminas nahisi kazi imekushinda nakumbuka ulisema harusi ya song couple hutaiweka kwenye akili yako kulinganisha na kurudi jeshini lee seung gi.
umeniangusha sana leo.



Damushin Dahh!! Mpkaa Nimejisikia Vibaya Yaani Kweli Kabisaa Nilipanga Ichi Kitu Kabisaaaaa Ila Baada Ya Kuona Trending Ya Twitter Kuhusu Hii Ya SongSongWedding Ikanifanya Nihame Mazima Yaani Ila Ngoja Kwanza Nikaombe Samahani...
 

My Baby Akaribie Uraiani Tena Lol!! Siipatii Picha Furaha Ya Lee Sun Hee Kumuona Kijana Wake Tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…