Jina la movie tafadhali
Anajifanya Hamjali Ha Ram Wakati Anamuonea Wivu Lol! Kati ya Scene Ilonifanya Nicheke kwa Sauti...
Ni Drama Inaitwa BLACKJina la movie tafadhali
Hii serious naipenda we acha tu.Leo nimekumbuka hii niliangalia kidogo basi imebidi niitafute niimalizie.
Umefika ep ya ngapi, Mkuu?Black: Korea Drama ninayo anza kuikubali mdogo mdogo. Muhusika mkuu yule wa kiume ni noma aisee kwel kuna watu wanavipaji, anavunga hamjui kabisa yule demu aka aminas. Kinacho nishangaza yule black anakuwa anakumbuka baadhi ya matukio ya yule aliye kufa.
Niko epsd ya 9 mkuu nasubiria ya 10 leo.Umefika ep ya ngapi, Mkuu?
Kuna na hii moja ya love story inaitwa Because This is My First Life, umeiona?
The King Loves ni ya kiboya. Sikuona cha maana chochote walichofanya..Black Jamani Ni Dunia Engine Mpaka Hapa Ilipofikia Naweza Sema Ndo drama yangu Bora kwa Huu Mwaka Ikafatiwa Na Rebel Who Stole the People, Ikija na King Loves....
Damushin kuuna Mahala niliona unaandika utofauti wa Joon Oppa na Mo Gang Sikuelewa Maana Yake Ila Hii Episode Ya 10 Imenifanya Nianze Pata Picha kidogo...
Hii Drama Banah Dooohh!!!! Inakupeleka Mbele Na Kukurudisha Nyuma ..
Director Apa kafanya Kazi
Hmmmmmmm!!!!!!! Umeiangalia Mwanzo Mpka Mwisho!?????The King Loves ni ya kiboya. Sikuona cha maana chochote walichofanya..
Mi niliposoma plot yake nilitarajia mengi lakini wapi. Aaaraaagh!
Ne. Nimefanya hivyo, Mkuu.Hmmmmmmm!!!!!!! Umeiangalia Mwanzo Mpka Mwisho!?????