Ohoooooo maana Niko ya 3 naanza kuielewa elewaMalaika mtoa roho. Kwa lugha nyepesi huwa nawaita hivyo mimi sijui kama kuna tafsiri nyingine
Hahahahahahahhaha, Hutaki Kabisaa Kuhusishwa Na Yasiyo..Napenda mambo gani sasa. Kwa taarifa yako niliwahi kuiangalia kidogo tu na sijawahi kujua stori yake inahusu nini
Hana adabu kabisa huyo mtotoHahahahahahahhaha, Hutaki Kabisaa Kuhusishwa Na Yasiyo..
Nikifika huko nitakupa jibu
Aya BossNikifika huko nitakupa jibu
Vp mkuu ni nzuri?Meloholic
Najua kisses za humo ni balaa japo sijaiangalia na nimeipenda story yake.OCN wanazidi kunishika sasa kama Dr Luis Shika, Aisee wamekuja na hii kitu nyingine inaitwa Meloholic. Ni very romantic drama yaani nimeipenda balaa, humo utapata mafunzo kama ww ni domo zege na utajua namna ya kuishi na hawa viumbe wa upande mwingine. Hawa OCN si wa mchezo kabisa wamebadilisha style maana hawa jamaa kwenye action ndio ilikuwa zao saiz mpaka kwenye haya mambo yetu. UHURU JR hii kitu ni noma mkuu.
Angalizo ina kiss sio za nchi hii ni za Korea kwahyo kuwa Makin na unaye angalia nae.