Yaani humo ndani hakuna aliyeharibu. Bado nina kiporo changu hapa cha ep 15 na ep 16 acha nikipashe moto!😀😀😀Because This Is My First Life
EMPTY dongsaeng hii drama ilikuwa ni burudani mwanzo hadi mwisho yaani ilifika wakati natamani episode ziongezeke kutoka 16 hadi 100.
couple zote zilikuwa full burudani lakini kwangu mimi Ma sang goo na soo ji walikuwa na kitu chengine cha ziada ukilinganisha na couple nyengine.hahahaaaa ma sang goo anastahili offer nyingi zaidi za kuigiza.
ila na wewe ho ra ng kila wakati unawaza ndoa kuolewa tu maisha yenyewe ndio haya ya mzee wa chato.
wenzetu hawabanii watu wenye vipaji kama unaweza basi offer zitakuja wenyewe, kim min gyu amepata offer ya kuigiza kwenye drama ya Just Between Lovers, bwana mdogo tayari ameshakuwa maarufu nchini korea na muda si mrefu naamini atakuwa muigizaji mkuu wa drama.
huyu ahjumma kim sun young ni shidaaa yaani nafasi yoyote utakayomueka yeye anafanya vizuri,kiukweli uwezo wake wa kuigiza ni mkubwa sana ukilinganisha na waigizaji wengine.
wakorea waachwe kama walivyo na wasifananishwe na wapuuzi wengine kwenye kuandika stori za kuvutia.
full stop.
Sunbae, umewahi kuangalia drama ya Whisper?😀atakapo gundua ya kwamba anatumiwa na wanaume wote wawili kwa ajili ya kufanikisha mipango yao sijui atajisikiaje, inaumiza sana.
fighting noona
Nami Naanza Ishusha Nishaanza na Episode ya kwanza...Yaani humo ndani hakuna aliyeharibu. Bado nina kiporo changu hapa cha ep 15 na ep 16 acha nikipashe moto!😀😀😀
Mara paaap! Kwa jinsi drama ilivyo nzuri kesho jioni ushaimaliza kuiangalia yote nzima. Hahahhaha!Nami Naanza Ishusha Nishaanza na Episode ya kwanza...
Namaanisha yule bintmbona han moo gang alikufa zamani sana kama sikosei episode ya 2 au nimekosea?
kama hujanywa chai asubuhi kuielewa black ni ngumu labda uwe na maarifa ya dk shika.
Umefikia wapi?Ha ram
Sunbae unakumbuka nilisema ukiachana na gream reaper kuna utata kuhusu detective Han hukunielewa sasa hivi ndo nimefumbuliwa hilo fumbo baada ya kujua kuwa Han Moo Gang sio Joon/Han Moo Chan ambae ndo alikuwa amefariki siku nyingimbona han moo gang alikufa zamani sana kama sikosei episode ya 2 au nimekosea?
kama hujanywa chai asubuhi kuielewa black ni ngumu labda uwe na maarifa ya dk shika.
aigoooooUko Na Uchokozi Wewe...
Nakazaga Mpaka Mwili Ili Nipate Elewa Na Kuvishika.
kwa kila mpenzi wa korean drama ambaye hajaiangalia because this is my first life drama ajiandae roho yake kuchukuliwa na gream reaperIvi hii drama Kwa Nini Sikuitazama Etiii!??? Kila nakosoma Watu Wanaisifia Sana...
Ngoja Huu Mwisho Wa Mwaka INSHAALLAH Nitaitafuta Kwa Nguvu Niicheki...
Ni Mmojawapo Ninae Penda Ichi Anachofanya Pil Joo, Ndomana Ata kuwakutanisha Alitumia Njia ya Kumfanya Mo Hyun Ni Kujikuta Anampenda Boo Cheon Kwa Njia Yeyote
Nakumbuka Ata alishmwambia Baba Yake kuwa Atakaefanya Mipango yetu itimie Ni Mo Hyun Yeye ndo Atakaeamua Na Ni Baada ya Kumpenda Boo Cheon,Apo Sasa ni Chaguzi lake Mwenyewe Pil Joo Ahusiki na Maamuzi ya Nafsini Mwake
bahati mbaya sana doctor sijaiangalia mpaka leo, lakini nilimpenda kwenye love story in harvard pamoja na mwanamama kim tae hee (a.k.a gueen of CF) malikia wa dili za matangazo ya biashara.Tupo Tayari, Anikumbusha kwenye Doctor Na Yule Binti...
kwi kwi kwi yaani nimehiari niiweke kiporo black drama kuliko because this is my first life, yule paka tu alikuwa ni burudani tosha kumuangalia. nashindwa kuelewa paka wa huku kwetu uswahilini wana roho mbaya kama binadamuYaani humo ndani hakuna aliyeharibu. Bado nina kiporo changu hapa cha ep 15 na ep 16 acha nikipashe moto!😀😀😀
bado sijaiangaliaSunbae, umewahi kuangalia drama ya Whisper?😀