Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo "bingo " inankumbusha sato Hiroshi kwenye bridal mask alikua akiipenda sana[emoji28]bingo, umemaliza kila kitu
ahsante sana.
Nzuri sanaSeries nzuri sana
My love from the star
ngoja nijaribu kiongoziIngia ondramanice.info
Dramafire.com
Niko nayo hapa ep ya 5. Nahisi taabu hata kuendeleza maana nahisi inanipotezea muda tu.aminas leo nimeanza kuangalia IM NOT A ROBOT mpaka episode ya tatu ,hahahahahaaaaa kama ningeliendeleza kuiangalia tena basi muda huu ningelikuwa hospitali ya wagonjwa wa akili.
nimecheka sanaaaaaaaa mpaka wanakijiji walitoka majumbani mwao na kuja kuniangalia kiukweli walidhani nimechanganyikiwa.
huwa nawashangaa sana wale wanaosema korean drama stori hazibadiliki nahisi wana chuki na wajoseon.
![]()
Aigooooo!!! Ebu iangalie Vizuri Banah Lol!!!!!Niko nayo hapa ep ya 5. Nahisi taabu hata kuendeleza maana nahisi inanipotezea muda tu.
nyota iliong'ara stejini kwa miaka takribani 10, muda huu inang'ara mbinguniKuna Huu Msiba wa K-PoP Ambao naona umeitikisa korea kidogo..
Mwanabendi wa SHINEE Anaenda kwa Jina la Joghyun Amefiriki Dunia Jana Kwa Kilichosababishwa na Kujiua..Mola Amrehemu Kijana Bado Mdogo kabisaa.
Depression Mbaya Sana Yaani..
nyota iliong'ara stejini kwa miaka takribani 10, muda huu inang'ara mbinguni
![]()
So Goodbye Don't cry and smile
I need your love again...
inaumiza sana, munakaa na mtu munacheka pamoja, utani usiokwisha, mastori yasiokwisha lakini kumbe upweke umemjaa nafsini mwake.
nimeupenda wimbo wake wa good bye kwenye city hunter drama.
ameondoka na ametuacha sisi kwenye dunia yenye raha na ukatili ndani yake.

hata kama mtu utamueleza masuala yako binafsi ni ngumu sana kuyaweka nafsini mwake,mfano mdogo angalia ujumbe aliyomuachia rafiki yake wiki chache zilizopita kutokana na hali aliyokuwa nayoNa Huu Umpweka Alikuwa Anauficha Na Smile Lake Muda Wote Yaani..
Ivi kwa Nini Inakuwa Ivi Unashindwa Kuwa na Ata Mtu Mmoja Wakumweleza Mambo yako Hili Nafsi Ipungukiwe na Matatizo!!
Kuna Siku Nishawahi Isoma Hii Ata Kwa Watu Maarufu Wamarekani Kuwa Wanahii Hali Au Tusema Watu Maarufu Dunia Yote Hii.nimeikuta hii habari japo ni ya miaka mitatu iliopita nadhani ina majibu ya maswali yetu kuhusiana na hawa watu maarufu.
Actress Park Jin Hee, “40% of actors have considered suicide”
Four out of every 10 actors here have been suffering from depression and have had suicidal urges from time to time, according to a degree paper by actress Park Jin-hee.
About 20 percent have actually purchased toxic agents or “devices” for suicide, she revealed, claiming that the extreme stress to stay attractive and to remain in the limelight drives them to mental instability and leads them to make drastic choices.
![]()
For her masters degree paper for Yonsei University, “Studies on Depression and Suicidal Urges Among Actors,” Park, who has played leading roles in numerous movies and TV dramas, interviewed 260 actors last year with incomes ranging from 10 million won-per-episode to less than 1 million won a month.
She found that 40 percent were suffering from depression
Respondents were quoted as saying, “I am sick of being alive. I want to die” and “I want to commit suicide and have often thought about going through with it.” About 20 percent of them actually bought pills or other harmful devices to kill themselves and another 20 percent said that they have confessed to others about their urges.
They were often forced to hide their real characters or feelings from others to remain “likable” and some of them thought “having to stay young and blissful” was self-consuming.
Their stress index marked 53.12 out 100, which is higher than that of self-employed men at 48.12 and salaried workers, at 48.18.
Park’s report is expected to create a whirlwind in the showbiz world recently reeling from many celebrities committing suicide and the possible copycat syndrome among their fans.
Actresses Lee Eun-joo, Chung-Da-bin, Choi Jin-sil; actor Choi Jin-young and pop singer Yuni are just some of the well-known celebrities who have taken their own lives of late.
After the suicide by the late actress Choi Jin-sil in October 2008, the number of suicides jumped by 60 percent compared to the previous year, according to Statistics Korea.
“The numbers show that people, who seem to be in the middle of amiability, love and glamour, are some of the most lonesome and troubled,” Park said in the paper.
Park said most of these symptoms derive from their “unstable status” in life. They thought their employment status was too rocky and that their talents weren’t received well enough by the public and industry insiders.
The gap between the general public’s perception that entertainers “live flamboyant and happy lives” and their actual life being “not so glamorous” also caused them mental anguish.
They were often forced to hide their real characters or feelings from others to remain “likable” and some of them thought “having to stay young and blissful” was self-consuming.
Their stress index marked 53.12 out 100, which is higher than that of self-employed men at 48.12 and salaried workers, at 48.18.
Actresses Lee Eun-joo, Chung-Da-bin, Choi Jin-sil; actor Choi Jin-young and pop singer Yuni are just some of the well-known celebrities who have taken their own lives of late.
After the suicide by the late actress Choi Jin-sil in October 2008, the number of suicides jumped by 60 percent compared to the previous year, according to Statistics Korea.
Lakini Unajua Mi bado nakosa Point yake Hasa Ni kipi kilichomfnya Ajiue,Sawa ni Depression lakini ni ya nini!!! Ni Kazi Ama ndo Watu..hata kama mtu utamueleza masuala yako binafsi ni ngumu sana kuyaweka nafsini mwake,mfano mdogo angalia ujumbe aliyomuachia rafiki yake wiki chache zilizopita kutokana na hali aliyokuwa nayo
The depression that gnawed on me slowly has finally engulfed me entirely,” Kim wrote, adding that he “couldn’t defeat it any more I was so alone,” Kim continued. “The act of ending is difficult. I’ve lived until now because of that difficulty. Please tell me I did a good job.” He ended the message: “You’ve worked hard. You’ve really gone through a lot. Goodbye.”
na alimwambia ujumbe huu auweke hadharani pindi atakapokufa
nadhani itakuwa ni kazi lakini cha kushangaza yupo kwenye kampuni kubwa sana ya muziki.Lakini Unajua Mi bado nakosa Point yake Hasa Ni kipi kilichomfnya Ajiue,Sawa ni Depression lakini ni ya nini!!! Ni Kazi Ama ndo Watu..
So Goodbye Don’t cry and Smile!nadhani itakuwa ni kazi lakini cha kushangaza yupo kwenye kampuni kubwa sana ya muziki.
ila depression haichagui masikini wala tajiri
Kuna Huu Msiba wa K-PoP Ambao naona umeitikisa korea kidogo..
Mwanabendi wa SHINEE Anaenda kwa Jina la Joghyun Amefiriki Dunia Jana Kwa Kilichosababishwa na Kujiua..Mola Amrehemu Kijana Bado Mdogo kabisaa.
Depression Mbaya Sana Yaani..