Black drama labda usubiri korean cable tv awards 2018 kwa sababu tunzo za mwaka 2017 zilifanyika mwezi wa tatu.Hapo kwenye kipengele cha Male Popularity Award Naona Ata Mtu wangu wa nguvu SONG SEUNG HEON simuoni Kabisa u serious wote ule kwenye Black alafu hayupo. Huo sasa ni utani kabisa.
BLACK ndio itachukua tuzoBlack drama labda usubiri korean cable tv awards 2018 kwa sababu tunzo za mwaka 2017 zilifanyika mwezi wa tatu.
na drama ya goblin ndio ilionekana kufanya vizuri sana kwa cable tv.
utabiri wangu kwa cable tv drama awards kwa mwaka 2018 natabiri because this is my first life drama itashinda tunzo ya best drama.
hahahahahaaaaa uyo paka tu ameshaifanya hii drama ishinde tunzo
Mamy kuna kipind niliwah kupitia matatizo nkawa nanyauka tuu sina w kumwelezea ,nkajipa moyo kumwelezea Dada mmja alikua Rafiki angu though sio kiviile ila alikua MTU wa kanisani sana...maajabu n kuwa alinitangaza!hapo ndo akanizidishia maumivu kabisa ,nliamua kupamban n hali yangu mwenyew kW kufanya ibada n kujitahid kW kila hali had nkazivuka changamoto hizo ...time heals n niliamin,...hua najiambia kama skuweza kufa that time basi stakuja kufa kW msongo w mawazo tena...i am happy and healthy and always I embrace my inner peace.Na Huu Umpweka Alikuwa Anauficha Na Smile Lake Muda Wote Yaani..
Ivi kwa Nini Inakuwa Ivi Unashindwa Kuwa na Ata Mtu Mmoja Wakumweleza Mambo yako Hili Nafsi Ipungukiwe na Matatizo!!
Mamy kuna kipind niliwah kupitia matatizo nkawa nanyauka tuu sina w kumwelezea ,nkajipa moyo kumwelezea Dada mmja alikua Rafiki angu though sio kiviile ila alikua MTU wa kanisani sana...maajabu n kuwa alinitangaza!hapo ndo akanizidishia maumivu kabisa ,nliamua kupamban n hali yangu mwenyew kW kufanya ibada n kujitahid kW kila hali had nikazivuka changamoto hizo ...time heals n niliamin,...hua najiambia kama skuweza kufa that time basi stakuja kufa kW msongo w mawazo tena...i am happy and healthy and always I embrace my inner peace.
Hahahahaaaa umenifurahisha hapo mwishoni. Mkuu mwanzo ulikuwa watumia ID ipi?Nimewamiss sana vijana wangu.....mbelwaz hapa nimerudi na ID Mpya...damushin,aminas na mjr95 plz take care of your boy
MbelwazHahahahaaaa umenifurahisha hapo mwishoni. Mkuu mwanzo ulikuwa watumia ID ipi?
Wooah
- amin amin amin
- huko jeju itakuwa ni mwendo wa Hanbok, kimchi, magkeolli, bibimbap(mixed rice),bulgogi.
- na honeymoon itakuwa ni kwenye mji mpya wa song do.
- mtumbuizaji atakuwa ni Park hyo shin na mwanadada Ailee.
.
Dah! haya bwana.Duuuh pole!!! Usivunje kitendee Kazi Pesa yake iyo aifanani na bando la kudownload tena,..jikaze Tuuh Mkuu
Mkuu ulipotea sana aiseeDah! haya bwana.
Hii naikumbuka tulikuwa tunaangali wengi basi watu walikuwa na mzuka balaa,ilikuwa bandika bandua.Nimevurugwa na drama ya The Moon That Embraces The Sun
Nzuri sana
Moja kati ya Drama nilizo zipotezea kama sizijuhi.!Jamani queen for seven dayz ni nzuri ila walikosea sana kwny upande wa character ya king maaana braza MTU nyota Yake iling'aa zaid ya mdogo MTU so as the result wengi hatukuimaliziaga
Mimi mwenye iilikuwa muda mrefu najishauri niangalie au nisiiangalie,hata nilipoanza kuangalia nilikuwa nadownload ep moja moja kwanza.Pole sana mkuu, hiyo kitu niliwahi kuangalia kama epsd 2 hiv kisha nikaipotezea ngoja nikipata mda nitaichukua.
Moja kati ya Drama ninazo zielewa kwa mda wote [emoji23][emoji23]Nimevurugwa na drama ya The Moon That Embraces The Sun
Nzuri sana