DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
Black drama labda usubiri korean cable tv awards 2018 kwa sababu tunzo za mwaka 2017 zilifanyika mwezi wa tatu.Hapo kwenye kipengele cha Male Popularity Award Naona Ata Mtu wangu wa nguvu SONG SEUNG HEON simuoni Kabisa u serious wote ule kwenye Black alafu hayupo. Huo sasa ni utani kabisa.
na drama ya goblin ndio ilionekana kufanya vizuri sana kwa cable tv.
utabiri wangu kwa cable tv drama awards kwa mwaka 2018 natabiri because this is my first life drama itashinda tunzo ya best drama.
hahahahahaaaaa uyo paka tu ameshaifanya hii drama ishinde tunzo