Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huyu jamaa alifanya nishindwe kuimalizia ile drama ya I miss you,alikuwa ananiboa.
 
Dramafire Ina shida Gani Jamani Inaniletea Mauza uza Tuuh,
Hwayugi Imeanza kwa wanaotaka Ifatilia.
 
Nataka kuiangalia Hwayugi ya le swung ji Lakini mpka muda Huu aijawa Sub nalifresh muda wote lakini bado.
 
Hahahaahhaaa! Mwenzio ep 1 tayari nishaimaliza! Hihihihi.. Ukisubiri ziive wenzako twakula kwa chumvi. Hahhhaaaa!!
Ndo nini!!!! Hahahaha! Si Vizuri ivyo,ivi ushawahi Subiri Kitu kwa Hamu ndo Mimi napita kila site aijawa sub bado,We umeonaje!???
 
Hahahaahhaaa! Mwenzio ep 1 tayari nishaimaliza! Hihihihi.. Ukisubiri ziive wenzako twakula kwa chumvi. Hahhhaaaa!!
We umeipata site Gani Nahisi Kama njaaa APA Jinsi ninavyoisubiri Mpka bando lataka isha etiii
 
Ndo nini!!!! Hahahaha! Si Vizuri ivyo,ivi ushawahi Subiri Kitu kwa Hamu ndo Mimi napita kila site aijawa sub bado,We umeonaje!???
Kama kawaida yangu! Episode zangu ninazo-download huwa ni raw (hazina subs).

So, hiyo episode 1 nimeidownload toka alfajiri huku nikisubiria subtitle yake itoke.

Mida kama ya saa 10 leo ndio imetoka kutoka Viki ila kuna vijipande bado havijawa subbed yaani iko 95% subbed.
Sub yenyewe ni hiyo hapo.

Subscene - A Korean Odyssey (Hwayugi / 화유기) English subtitle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…