Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kama liimegoma kifunguka basi itakuwa hauna application ya kulifungua.
Hivyo, ingia Play Store kisha install applicarion yenye jina "ZArchiver".

Halafu jaribu kuilfungua tena ukimaliza kui-install hiyo app. Imekubali kufunguka?
 
Mkuu hebu nipatie website ya kudonwload hizi mambo maana hii myasiantv na dramabus kwa sasa naona hawanipi ushirikianno mzuri idm inashindwa kudonwload kabisa
 
Mkuu hebu nipatie website ya kudonwload hizi mambo maana hii myasiantv na dramabus kwa sasa naona hawanipi ushirikianno mzuri idm inashindwa kudonwload kabisa

Mkuu,
Ingia hapo kwenye link utakutana na links tele za KDrama.

Bofya hapa.
 
Damushin Anyeonghaseyo Naona Kuna Izi Show Wanazifanya Izi Televisioni Za Korea Ikiwemo SBS Ambayo Hii Show Yao ndo Imeanza Na Ikifuatiwa Na MBC Na KBS, Zinakuaje Izi Nimshindwa Kuzielewa Etii! Nilikuwa Najua Ndo zile AWARDS Zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…