EMPTY
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 979
- 1,195
Lee Seung-gi & Oh Yeon-seo wameni-dissapoint vibaya ndani ya drama ya Hwayugi.Nipe Mrejesho wako wa Hwayugi Maana Wewe Una Tasteless Na Baadhi ya Drama
Why? 'sababu nahisi they can do better than that!
Nahitaji kumuona Lee Seung-gi wa kwenye Gu Family Book, Gumiho, na King 2 Hearts combined.
Hicho alichofanya humo kwenye Hwayugi kwa kweli sijamuelewa.
Hivyo hivyo tukija kwa Oh Yeon-seo noona. Hakika kwenye "Shine or Go Crazy" aliamua kufanya kweli hivyo sitarajii kwenye Hwayugi ataniangusha.
Kwa kuongezea, nahisi kuna awkwardness fulani kati yao hao niliowaongelea.
Wewe unaonaje?