Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

MBC AWARDS TONIGHT, Damushin UHURU JR EMPTY mjr95 na Wote Mnaofatilia KDRAMA Na KPOP Leo Ndo ule Usiku wa Actors,Actress Ma PD,Directors na Wale wote wanaohusika kutengeneza kazi Izi na Kuleta Furaha Majumbani,na Kwenye Familia ya Baadhi za Watu, Kuvuna Au Kufulaia Matunda Ya Kazi Zao.

Zile kazi Nzuri zote Zitatunukiwa Usiku wa leo Uko kwao, Ni Usiku Wa Kdrama.,
 
[LiPo @ Issue] Kim Sang Joong vs Choi Minsoo vs Jang Hyuk ... 'MBC Acting Grand Prize' Hot Triple Exhibition
 
Voda night bundle 1500 kuanzia saa tano usiku hadi saa kumi na moja asubuh 4gb siku mbili

Halotel 1500 gb 10 siku moja anzia saa sita usiku.

Hii ni kwa wale wanaolalamika vyuma vimekaza.
Vijana nipeni idea maana sa hivi nashindwa kudownload drama kwa Uhuru vifurushi vimebana sana natumia airtel mwanzo nilikuwa na tumia 10gb kwa 600 ila sa HV vocha hazipo so buku GB 1 ambayo ni episode 3 tu.kwa Hali hii drama kudownload kumepungua kasi
 
MBC AWARDS TONIGHT, Damushin UHURU JR EMPTY mjr95 na Wote Mnaofatilia KDRAMA Na KPOP Leo Ndo ule Usiku wa Actors,Actress Ma PD,Directors na Wale wote wanaohusika kutengeneza kazi Izi na Kuleta Furaha Majumbani,na Kwenye Familia ya Baadhi za Watu, Kuvuna Au Kufulaia Matunda Ya Kazi Zao.

Zile kazi Nzuri zote Zitatunukiwa Usiku wa leo Uko kwao, Ni Usiku Wa Kdrama.,
Matokeo yanatoka lini & washindi huwa wanapatikana vipi, Mkuu?
 
MBC AWARDS TONIGHT, Damushin UHURU JR EMPTY mjr95 na Wote Mnaofatilia KDRAMA Na KPOP Leo Ndo ule Usiku wa Actors,Actress Ma PD,Directors na Wale wote wanaohusika kutengeneza kazi Izi na Kuleta Furaha Majumbani,na Kwenye Familia ya Baadhi za Watu, Kuvuna Au Kufulaia Matunda Ya Kazi Zao.

Zile kazi Nzuri zote Zitatunukiwa Usiku wa leo Uko kwao, Ni Usiku Wa Kdrama.,
Nae Salang shukrani sana kwa Taarifa.
 
[LiPo @ Issue] Kim Sang Joong vs Choi Minsoo vs Jang Hyuk ... 'MBC Acting Grand Prize' Hot Triple Exhibition
Natabiri Choi Min-soo kuchukua hiyo tuzo.
Kwenye "Man Who Dies to Live" alikuwa ananikosha ile mbaya.

Jang Hyuk naona mwaka huu kaamua kuuchuna kwa sana tu. Kwa kweli kanikera hivyo kura yangu sitoi.
 
Jang Hyuk Achukue Bana Mi sijuhi Kwa Nini Nimemkubari Sana Humu Ila Watu wengi wanatabiri Atashinda
 
Voda menu yao kama kawaida *149*01# kisha chagua namba 4 Internet kisha namba moja kisha vifurushi vya usiku.

Halotel *148*66# kisha namba 7 internet kisha chagua usiku pack.

Kama huiamin halotel kasi yake anza kujiunga kwa usiku pack 500 gb 1 ukishazoea na kuona kipo poa unajitupia cha gb 10

Unajiunga muda wowote iwe mchana asubuh au usiku ila muda wa kutumia ni ule utakaoonyeshwa kwenye ujumbe utakaokujulisha umejiunga na kifurushi.(i mean voda saa tano,halotel saa sita)

OK, shukrani ni vp namna ya kujiunga sasa?
 
Unataka tuwe popo, Mkuu? Hihihhi!
 
Back
Top Bottom