Aigooooo! Pole, Mi Natumia VODACOM Najiungaga Ile Kifurushi cha yakwako tuuh kuna Cha Buku 10 unapata MB 10240 Kwa 7days na Kuna Kile cha Buku 2 unapata 3072MB Kwa 5days.Vijana nipeni idea maana sa hivi nashindwa kudownload drama kwa Uhuru vifurushi vimebana sana natumia airtel mwanzo nilikuwa na tumia 10gb kwa 600 ila sa HV vocha hazipo so buku GB 1 ambayo ni episode 3 tu.kwa Hali hii drama kudownload kumepungua kasi
Vijana nipeni idea maana sa hivi nashindwa kudownload drama kwa Uhuru vifurushi vimebana sana natumia airtel mwanzo nilikuwa na tumia 10gb kwa 600 ila sa HV vocha hazipo so buku GB 1 ambayo ni episode 3 tu.kwa Hali hii drama kudownload kumepungua kasi
Neee. Gamsamnida. Hihihihi!!Annyeonghaseyo.
Mrejesho Na Ile APP Nilishindwa kuishusha Nikaamua Niwe na Subira Tuuh Mpka Walivyoisub.
Hahahahahhahah! Iyo Hihihihi Ndo Nini????Neee. Gamsamnida. Hihihihi!!
Nipe Mrejesho wako wa Hwayugi Maana Wewe Una Tasteless Na Baadhi ya DramaNeee. Gamsamnida. Hihihihi!!
Daaah afadhali hyoTafuta line ya TTCL ili ufaidi kifaa inabidi kiwe na 4G subiri saa 6 usiku TOBOA pack GB 10 kwa 1000 ni mwendo wa kushusha File la gb 3 dk kadhaa tu na hawapunguzi speed ila kwa dar sasa sijajua kama upo mikoani inakuaje jpo kuna mikoa inakubali
Mi Niko moroTafuta line ya TTCL ili ufaidi kifaa inabidi kiwe na 4G subiri saa 6 usiku TOBOA pack GB 10 kwa 1000 ni mwendo wa kushusha File la gb 3 dk kadhaa tu na hawapunguzi speed ila kwa dar sasa sijajua kama upo mikoani inakuaje jpo kuna mikoa inakubali
Hichi cha buku mbili ni cha ukwlAigooooo! Pole, Mi Natumia VODACOM Najiungaga Ile Kifurushi cha yakwako tuuh kuna Cha Buku 10 unapata MB 10240 Kwa 7days na Kuna Kile cha Buku 2 unapata 3072MB Kwa 5days.
labda uame Mtaa.
Yah cha ukweli lakini sijuhi ni kwangu tuuh Maana Kuna Wengine Nikiwaulizaga Wanasemaga Hawana Ila Mi Ndo Mara Nyingi Najiunga Na Icho.Hichi cha buku mbili ni cha ukwl
sent using TV ya chogo
Au Ingia Apo TTCL Kama Alivyoshauri Mkuu MediocristKuhama mtaa ni lazima kwa sasa wamekaza sana
sent using TV ya chogo
Mm pia nimesikia hilo wengi wanapewa GB 2 bt ww gb3 so bahati pia unayoYah cha ukweli lakini sijuhi ni kwangu tuuh Maana Kuna Wengine Nikiwaulizaga Wanasemaga Hawana Ila Mi Ndo Mara Nyingi Najiunga Na Icho.
aminas usifikili kila mtu anapata hivyo, Ndio maana wakaita ya kwako tu.Aigooooo! Pole, Mi Natumia VODACOM Najiungaga Ile Kifurushi cha yakwako tuuh kuna Cha Buku 10 unapata MB 10240 Kwa 7days na Kuna Kile cha Buku 2 unapata 3072MB Kwa 5days.
labda uame Mtaa.
Just nimetabasamu kwa sauti. Hihihihi!Hahahahahhahah! Iyo Hihihihi Ndo Nini????
Aigooooo!! Hihihihihihi Nami nigeze ila nitabasamu kimya kimya, Haha!Just nimetabasamu kwa sauti. Hihihihi!