Lee Seung-gi & Oh Yeon-seo wameni-dissapoint vibaya ndani ya drama ya Hwayugi.Nipe Mrejesho wako wa Hwayugi Maana Wewe Una Tasteless Na Baadhi ya Drama
Aigooooo!!!! Kuna Kitu nimekiona Sijakielewa Labda Mpka Nikifika ya 5 ndo nitajua Exactly Ni kipi,ila Watu wanmlalamikia PD kazingua Sana Mpka Wanamletea Assistant.Lee Seung-gi & Oh Yeon-seo wameni-dissapoint vibaya ndani ya drama ya Hwayugi.
Why? 'sababu nahisi they can do better than that!
Nahitaji kumuona Lee Seung-gi wa kwenye Gu Family Book, Gumiho, na King 2 Hearts combined.
Hicho alichofanya humo kwenye Hwayugi kwa kweli sijamuelewa.
Hivyo hivyo tukija kwa Oh Yeon-seo noona. Hakika kwenye "Shine or Go Crazy" aliamua kufanya kweli hivyo sitarajii kwenye Hwayugi ataniangusha.
Kwa kuongezea, nahisi kuna awkwardness fulani kati yao hao niliowaongelea.
Wewe unaonaje?
Natafuta muvi km ile ya korea sioni yanNiliipenda IRIS sijawahi kuona mfano wake
Hayo malalamiko ni yepi, Mkuu? I mean kwanini wamemletea assistant?Aigooooo!!!! Kuna Kitu nimekiona Sijakielewa Labda Mpka Nikifika ya 5 ndo nitajua Exactly Ni kipi,ila Watu wanmlalamikia PD kazingua Sana Mpka Wanamletea Assistant.
Ngoja tuone Ila Sitarajii ili kwa Bae Kukosea.
Wanavyosema Production ya Episode hii ya pili kulikuwa na Makosa kibao kilichopelekea kuirudia kuirusha siku ya Jumatatu,Sa apo kosa lilikuwa production wakaona PD Kazi Inamuelemea Ndo Wanamletea Assistant.Hayo malalamiko ni yepi, Mkuu? I mean kwanini wamemletea assistant?
Vp Athena au 3 days?Natafuta muvi km ile ya korea sioni yan
Unamjua jamaa black hivi huwa anaimba nyimbo za kikorea anaitwa Joseph Busto?Kwa Mpenzi Wa Kpop Mtafute Uyu Mkuu Anaeitwa Lee Juck,Kaimba Hii Nyimbo Inaitwa FORTUNATE Sijuh Ni Mimi Tuuh Ila Imenifanya Naisikiliza Siku Nzima Ya Leo.
Such a nice Song Na Iyo Sauti Sa! Ipo kwenye rada yangu ikifuatiwa na Lonely Ya Jjing (Amrehemu) na Taeyon.
Hivi hii drama ikoje,Mkuu?
Alishawahi kuwa kwenye shindano lile la ''i can see you voice''?Unamjua jamaa black hivi huwa anaimba nyimbo za kikorea anaitwa Joseph Busto?
Mzee wa tasteless Hihihihihi.Hivi hii drama ikoje,Mkuu?
Nimeiangalia hadi ep ya 4 ila bado hainipi mzuka wa kuzitafuta episodes nyengine & kama unavyojua vyum@ vimek@za@ hivyo kusave Megabytes ni muhimu. Hihihihi!
Ndiyo.Alishawahi kuwa kwenye shindano lile la ''i can see you voice''?
Hivi untouchable unaiangalia?Mzee wa tasteless Hihihihihi.
Ni nzuri sana Sana SANA, I'm not a Robot Unaiangalia??
Yah Nampta Ila Huwaga Simsikilzagi kiivyoNdiyo.
Nope Sijaiangalia.Hivi untouchable unaiangalia?
Hiyo nayo nimeganda ep ya 8.Mzee wa tasteless Hihihihihi.
Ni nzuri sana Sana SANA, I'm not a Robot Unaiangalia??
Hahahahaha! Itafute Jugglers Naskia Nzuri Sana Ata kwenye Rating Ndo Inafuatia Baada ya Black KnightHiyo nayo nimeganda ep ya 8.
Kati ya ongoing dramas zote, zilizonivutia ni mbili 2. Money Flower na Hwayugi basi!
Hizo zilizobaki nikilazimisha kuziangalia zinanifanya nilale. Hihihihi!