Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nipe Mrejesho wako wa Hwayugi Maana Wewe Una Tasteless Na Baadhi ya Drama
Lee Seung-gi & Oh Yeon-seo wameni-dissapoint vibaya ndani ya drama ya Hwayugi.
Why? 'sababu nahisi they can do better than that!

Nahitaji kumuona Lee Seung-gi wa kwenye Gu Family Book, Gumiho, na King 2 Hearts combined.
Hicho alichofanya humo kwenye Hwayugi kwa kweli sijamuelewa.

Hivyo hivyo tukija kwa Oh Yeon-seo noona. Hakika kwenye "Shine or Go Crazy" aliamua kufanya kweli hivyo sitarajii kwenye Hwayugi ataniangusha.

Kwa kuongezea, nahisi kuna awkwardness fulani kati yao hao niliowaongelea.
Wewe unaonaje?
 
Aigooooo!!!! Kuna Kitu nimekiona Sijakielewa Labda Mpka Nikifika ya 5 ndo nitajua Exactly Ni kipi,ila Watu wanmlalamikia PD kazingua Sana Mpka Wanamletea Assistant.
Ngoja tuone Ila Sitarajii ili kwa Bae Kukosea.
 
Kwa Mpenzi Wa Kpop Mtafute Uyu Mkuu Anaeitwa Lee Juck,Kaimba Hii Nyimbo Inaitwa FORTUNATE Sijuh Ni Mimi Tuuh Ila Imenifanya Naisikiliza Siku Nzima Ya Leo.
Such a nice Song Na Iyo Sauti Sa! Ipo kwenye rada yangu ikifuatiwa na Lonely Ya Jjing (Amrehemu) na Taeyon.
 
Hayo malalamiko ni yepi, Mkuu? I mean kwanini wamemletea assistant?
 
Wanavyosema Production ya Episode hii ya pili kulikuwa na Makosa kibao kilichopelekea kuirudia kuirusha siku ya Jumatatu,Sa apo kosa lilikuwa production wakaona PD Kazi Inamuelemea Ndo Wanamletea Assistant.
 
21s2nd.gif
 
Kwa Mpenzi Wa Kpop Mtafute Uyu Mkuu Anaeitwa Lee Juck,Kaimba Hii Nyimbo Inaitwa FORTUNATE Sijuh Ni Mimi Tuuh Ila Imenifanya Naisikiliza Siku Nzima Ya Leo.
Such a nice Song Na Iyo Sauti Sa! Ipo kwenye rada yangu ikifuatiwa na Lonely Ya Jjing (Amrehemu) na Taeyon.
Unamjua jamaa black hivi huwa anaimba nyimbo za kikorea anaitwa Joseph Busto?
 
Hivi hii drama ikoje,Mkuu?
Nimeiangalia hadi ep ya 4 ila bado hainipi mzuka wa kuzitafuta episodes nyengine & kama unavyojua vyum@ vimek@za@ hivyo kusave Megabytes ni muhimu. Hihihihi!
Mzee wa tasteless Hihihihihi.
Ni nzuri sana Sana SANA, I'm not a Robot Unaiangalia??
 
Hiyo nayo nimeganda ep ya 8.
Kati ya ongoing dramas zote, zilizonivutia ni mbili 2. Money Flower na Hwayugi basi!

Hizo zilizobaki nikilazimisha kuziangalia zinanifanya nilale. Hihihihi!
Hahahahaha! Itafute Jugglers Naskia Nzuri Sana Ata kwenye Rating Ndo Inafuatia Baada ya Black Knight
 
Back
Top Bottom