Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Now wanatangaza drama of the year Nominees Ambao Wamechaguliwa na Committee ya 24 drama ya MBC Na Domestic wataruhusiwa kupiga kura wakati shuguli ikiendelea.
Aksante
 
Best New Actor Imeenda kwa Kim seon ho wa 2cops na Kim jung Hyun wa Rebel,
Uyu Kim Seon Ho Amaecheza Pia Kwenye Strongest deliveryman Yule second lead AnaStahili kiukweli.
Kim Jung Hyun a.k.a MORI.

Huyo Kim Seon Ho sauti yake huwa inanikataga stimu.
 
Mabest Young actor Imeenda kwa Nam Da reun wa king loves na Lee Ro Woon wa Rebel Hongera Zao
 
Now ni Scriptwriter Awards Ambayo imeenda kwa Hwang jin Young wa Rebel.
Napata Msisimko Naimani Hii drama Itachukua Best drama 2017
Hongera Zake.
Nitashauti Kaa Naangalia Za Tz
 
Mabest Young actor Imeenda kwa Nam Da reun wa king loves na Lee Ro Woon wa Rebel Hongera Zao
Nam Da-Reum hajui kuharibu! Nilianza kumkubali kwenye 'Six Flying Dragons' kama Lee Bang Woon mdogo.

Lee Ro Woon, kwenye Rebel alivyokuwa kakasirika mwenyewe niliogopa. Hihihihi!
 
Nam Da-Reum hajui kuharibu! Nilianza kumkubali kwenye 'Six Flying Dragons' kama Lee Bang Woon mdogo.

Lee Ro Woon, kwenye Rebel alivyokuwa kakasirika mwenyewe niliogopa. Hihihihi!
Yah Kijana yupo Vizuri...
Umesema wa Kwenye rebel alikuaje!????
 
Sasa Ni Best Character Ambayo Imechezeka Ki Villain Au Character Ambayo Ni Ngumu Kuchezeka Amechukua Chae Tae Joon Wa Missing Nine Amecheza Pia Suspicious Partner
Shosti Wa Chang Wook
Hongera Zake
 
Best Comedic Character Kachukua Jung kyung Ho
Hongera Zake
 
Sasa Ni Best Character Ambayo Imechezeka Ki Villain Au Character Ambayo Ni Ngumu Kuchezeka Amechukua Chae Tae Joon Wa Missing Nine Amecheza Pia Suspicious Partner
Shosti Wa Chang Wool.
Hongera Zake
Huyo nae wamempendelea!
 
Golden Acting Award ndo Inafata Kachukua Ahn gil kang wa Bad thief gud thief na Shin Dong Min Wa Father I'll take care of You.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…