Umeiangalia Missing 9!???Huyo nae wamempendelea!
Walinipotea MB zangu bure. Kudadadrki!!Umeiangalia Missing 9!???
Aigooooo!!!! Na Uwe Pole Mi Sijaiona kwaiyo Naona Chenga Tuuh APA.Walinipotea MB zangu bure. Kudadadrki!!
Kwa kuwa Rebel umeitaja mwanzo basi itakuwa unaizimia zaidi. Hihihihi!Yaani APA Rebel nataka ishinde Money flows Nataka inshinde Duuuh!!!
Na ndo inayoongoza Kwenye Zile Top4 ikafutiwa ba Ruler Master Then Money flowerKwa kuwa Rebel umeitaja mwanzo basi itakuwa unaizimia zaidi. Hihihihi!
Duuh! Kazi unayo.SBS drama Awards Nayo Imeanza
Hihihihihi,Hii ya SBS Sitaweza jpo ntamniDuuh! Kazi unayo.
Hwaiting! Aja! Aja!
Wakali wamekutana. Job true true!Ni Award Kubwa sana hii..
Uyu Infinite's L kumbe ni yule Second lead Kwenye ruler Ashachukua 2 o 3 awards Now.Popularity Awards Goes To Kim So Hyun kwa Female Na Infinite's L kwa Male Kutoka Katika Drama Ya Ruler
Hongera zake.Uyu Infinite's L kumbe ni yule Second lead Kwenye ruler Ashachukua 2 o 3 awards Now.