Duh! Naitamani mimi huwa nakutana na yenye episode 20!Namm Nishakua Addicted Siku Hizi Nikiona Haina Episode Zaidi Ya 50 Naiangalia Basi Tu.
EMPEROR WANG GUN Ndio Ndefu Na Nimemaliza Wiki Iliyopita Baada Ya Kupumzika Nilipofika Episode 100.
Ina Episode 200 Kamili.
Hahaha mimi pia sijawai kushika majina yao ila kuna watu wanayajua hatari!Kuna watu mnatisha aisee Mimi na kufuatilia kwangu Korean series sijuagi majina ya watu ila humu mnatiririka tu duuu
Tafta GoodDrama.Net Utazipata.D
Duh! Naitamani mimi huwa nakutana na yenye episode 20!
Mm Ni Mkorea Mbona.Mzee ulishawahi kuishi Korea nini maana haya majina unavyotaja utadhani mkorea halisi.
City hunter is my best of all., IRIS, BRIDAL MASK, JUMONG, A MAN CALLED GOD.Aigoo Aigooo kitu cha IRRIS, CITY HUNTER, QUEEN OF AMBITION, EAST OF EDDEN, JUMONG, A MAN CALLED GOD duu in short wapo vizuri sanaa
Jamani mbona nikitaka kudownload kupitia gooddrama zinakuja bila subtittle ni site gani nzuri nyingine ya kupakua?FengBa Was A Menace.
Nasikitika Anapewaga Supporting Character Most Times.
Naunga telaNjoo uchukue.
Mbna Gooddram.net Zina English Subtitle Nakushangaa Unasema Hamna.Jamani mbona nikitaka kudownload kupitia gooddrama zinakuja bila subtittle ni site gani nzuri nyingine ya kupakua?
Ingia website moja inaitwa myasiantv.se humu episode hazikatwi vipandevipande ni full na wanatafsiri fresh.Jamani mbona nikitaka kudownload kupitia gooddrama zinakuja bila subtittle ni site gani nzuri nyingine ya kupakua?
Dah ngoja nami nijiite gwanghaegun of joseon.Mm Ni Mkorea Mbona.
Naitwa KIM MO JO SAN.
Natokea Jolbon Ingawa Nilizaliwa Pyongyang.
Shule Nimesomea Andong.
Im A Proud Goguryean.
I Like Nifah Ila Anatokea Ila Ni Princess Wa Silla Cjui Kama Atanikubali General Wa Wababe Wao Goguryeo Nimuoe.
Sawa Bwana Gwang.Dah ngoja nami nijiite gwanghaegun of joseon.
Huyu alikuwa mfalme wa 15 wa joseon.Sawa Bwana Gwang.
Sasa Ww Ni General Au Civil Official?
Ah Bas Aina Shida.Huyu alikuwa mfalme wa 15 wa joseon.
Mkuu unazo bado?? Nimeangalia jumong nimejikuta nazipenda. Kama unazo msaada tutani mkuu
Hizo movie nazidownload kupitia torch browser na Internet Download Manager (IDM)... Nkiwa na torch browser nafanya integration ya IDM ambayo nkiingia kwenye hizo links IDM inadetect fasta tu nadownload video {episodes} nnavyotakaMkuu software gani unatumia kupakua??
Tumia IDM yaana internet download manager.Jaman nimejaribu kudownload king gwangaetto kupitia torrent lkn wanasema haipo, je kuna njia nyingine mkuu ya kudownload zaidi ya torrent?,