Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

D
Namm Nishakua Addicted Siku Hizi Nikiona Haina Episode Zaidi Ya 50 Naiangalia Basi Tu.
EMPEROR WANG GUN Ndio Ndefu Na Nimemaliza Wiki Iliyopita Baada Ya Kupumzika Nilipofika Episode 100.
Ina Episode 200 Kamili.
Duh! Naitamani mimi huwa nakutana na yenye episode 20!
 
Mzee ulishawahi kuishi Korea nini maana haya majina unavyotaja utadhani mkorea halisi.
Mm Ni Mkorea Mbona.
Naitwa KIM MO JO SAN.
Natokea Jolbon Ingawa Nilizaliwa Pyongyang.
Shule Nimesomea Andong.
Im A Proud Goguryean.
I Like Nifah Ila Anatokea Ila Ni Princess Wa Silla Cjui Kama Atanikubali General Wa Wababe Wao Goguryeo Nimuoe.
 
Aigoo Aigooo kitu cha IRRIS, CITY HUNTER, QUEEN OF AMBITION, EAST OF EDDEN, JUMONG, A MAN CALLED GOD duu in short wapo vizuri sanaa
City hunter is my best of all., IRIS, BRIDAL MASK, JUMONG, A MAN CALLED GOD.
 
FengBa Was A Menace.
Nasikitika Anapewaga Supporting Character Most Times.
Jamani mbona nikitaka kudownload kupitia gooddrama zinakuja bila subtittle ni site gani nzuri nyingine ya kupakua?
 
Jamani mbona nikitaka kudownload kupitia gooddrama zinakuja bila subtittle ni site gani nzuri nyingine ya kupakua?
Ingia website moja inaitwa myasiantv.se humu episode hazikatwi vipandevipande ni full na wanatafsiri fresh.
 
Mm Ni Mkorea Mbona.
Naitwa KIM MO JO SAN.
Natokea Jolbon Ingawa Nilizaliwa Pyongyang.
Shule Nimesomea Andong.
Im A Proud Goguryean.
I Like Nifah Ila Anatokea Ila Ni Princess Wa Silla Cjui Kama Atanikubali General Wa Wababe Wao Goguryeo Nimuoe.
Dah ngoja nami nijiite gwanghaegun of joseon.
 
Mkuu unazo bado?? Nimeangalia jumong nimejikuta nazipenda. Kama unazo msaada tutani mkuu

Mkuu software gani unatumia kupakua??
Hizo movie nazidownload kupitia torch browser na Internet Download Manager (IDM)... Nkiwa na torch browser nafanya integration ya IDM ambayo nkiingia kwenye hizo links IDM inadetect fasta tu nadownload video {episodes} nnavyotaka
 
Jaman nimejaribu kudownload king gwangaetto kupitia torrent lkn wanasema haipo, je kuna njia nyingine mkuu ya kudownload zaidi ya torrent?,
 
Jaman nimejaribu kudownload king gwangaetto kupitia torrent lkn wanasema haipo, je kuna njia nyingine mkuu ya kudownload zaidi ya torrent?,
Tumia IDM yaana internet download manager.
 
Back
Top Bottom