Kuna sehemu ndogo tu kwenye 'I'm Not a Robot' inanifanya nisiendeleze ila dada anajua!Vile tituko vyake Mi hoi aisee
ratiba yake ni leo na kumefanyika sherehe za MBC drama awardsHii nayo wiki hii haionyeshwi, sunbae?
Sunbae hii kitu ya Dae Jo Young nimeitafuta bila mafanikio lol!omo omo omo
bakuli la urojo limenifanya niwe frustrated kama mzee wa chato
Kwa hiyo ita-resume siku gani maana naona wiki hii drama zangu pendwa zote zina mkono wa mtu.ratiba yake ni leo na kumefanyika sherehe za MBC drama awards
Hahahahaaaa, acha uzembe mkuu jikaze umalize yote lol!Kuna sehemu ndogo tu kwenye 'I'm Not a Robot' inanifanya nisiendeleze ila dada anajua!
Uyu Mzee kiukweli Huwa Ananiacha Hoi Kila Nikimuangalia Though Yuko Mtata Sana Kwenye Money Flower...aigooooo unamwitaje babu yangu kama ni mkorofi, mimi leo kiupande fulani sina furaha kwa sababu wiki hii sitamuona kwenye money flower pamoja na mwanama miss lee.
duh! labda ukanunue cd zinazotafsiriwa kwa kiswahili, mimi mpaka leo naitafuta yeon gae somun drama sijaipata kwenye tovuti yeyote ile.Sunbae hii kitu ya Dae Jo Young nimeitafuta bila mafanikio lol!
jumamosi ijayo itaendelea, money flower ni balaaa yaani kang pil joo anaisanifu familia ya cheong A anavyotaka.Kwa hiyo ita-resume siku gani maana naona wiki hii drama zangu pendwa zote zina mkono wa mtu.
Punguza mawazo kwa kuangalia Jumong, Mi baada ya Dramafire kuzingua nimeanza kuangalia Jumong kwa mara ya 3 sasa.Kwa hiyo ita-resume siku gani maana naona wiki hii drama zangu pendwa zote zina mkono wa mtu.
duh! Itabidi nifanye hivyoduh! labda ukanunue cd zinazotafsiriwa kwa kiswahili, mimi mpaka leo naitafuta yeon gae somun drama sijaipata kwenye tovuti yeyote ile.
Jumong ni ya zamani sana.Punguza mawazo kwa kuangalia Jumong, Mi baada ya Dramafire kuzingua nimeanza kuangalia Jumong kwa mara ya 3 sasa.
Lol! Mm siangalii uzamani natizama ubora niko hapa namcheki mzee wa mishaleJumong ni ya zamani sana.
Kwa kuwa nimekosa drama ya kutizama basi nimeamua nikaiendeleze 'Black Knight'!
Sidhani kama kuna yeyote alipata ajali.jumamosi ijayo itaendelea, money flower ni balaaa yaani kang pil joo anaisanifu familia ya cheong A anavyotaka.
hivi pale mwisho nani kapata ajali ya gari kati ya pil joo na bo cheon kwa mtizamo wako?
Imekuaje mkuuMy beutful pride
Naipenda ila nimechek sikuimalizaImekuaje mkuu
Mi Nahisi wamepata Wote,Ila hyuk na wasiwasi Nae kiukweli Maana Ni Mzee Wa Kushtukia.Sidhani kama kuna yeyote alipata ajali.
Kama gari zote zilikuwa na hitilafu basi kwanini ajali iwe moja? Au mimi ndio sikuelewa?
Jitahidi uimalize mkuuNaipenda ila nimechek sikuimaliza
Iangalie Jugglers Naskia ni Nzuri SanaJumong ni ya zamani sana.
Kwa kuwa nimekosa drama ya kutizama basi nimeamua nikaiendeleze 'Black Knight'!
Wiki hii ndio nilikuwa nasubiria majibu ila wameamua kuninyima.Mi Nahisi wamepata Wote,Ila hyuk na wasiwasi Nae kiukweli Maana Ni Mzee Wa Kushtukia.