Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

aigooooo unamwitaje babu yangu kama ni mkorofi, mimi leo kiupande fulani sina furaha kwa sababu wiki hii sitamuona kwenye money flower pamoja na mwanama miss lee.
Sun_jae-lee.jpg
Uyu Mzee kiukweli Huwa Ananiacha Hoi Kila Nikimuangalia Though Yuko Mtata Sana Kwenye Money Flower...
 
Sunbae hii kitu ya Dae Jo Young nimeitafuta bila mafanikio lol!
duh! labda ukanunue cd zinazotafsiriwa kwa kiswahili, mimi mpaka leo naitafuta yeon gae somun drama sijaipata kwenye tovuti yeyote ile.
 
Kwa hiyo ita-resume siku gani maana naona wiki hii drama zangu pendwa zote zina mkono wa mtu.
jumamosi ijayo itaendelea, money flower ni balaaa yaani kang pil joo anaisanifu familia ya cheong A anavyotaka.
hivi pale mwisho nani kapata ajali ya gari kati ya pil joo na bo cheon kwa mtizamo wako?
 
Kwa hiyo ita-resume siku gani maana naona wiki hii drama zangu pendwa zote zina mkono wa mtu.
Punguza mawazo kwa kuangalia Jumong, Mi baada ya Dramafire kuzingua nimeanza kuangalia Jumong kwa mara ya 3 sasa.
 
jumamosi ijayo itaendelea, money flower ni balaaa yaani kang pil joo anaisanifu familia ya cheong A anavyotaka.
hivi pale mwisho nani kapata ajali ya gari kati ya pil joo na bo cheon kwa mtizamo wako?
Sidhani kama kuna yeyote alipata ajali.

Kama gari zote zilikuwa na hitilafu basi kwanini ajali iwe moja? Au mimi ndio sikuelewa?
 
Back
Top Bottom