Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Moja kati ya Drama nisio ipenda, alafu nakumbuka ww ndio uliipigia promo humu. Najuta kupoteza GB zangu Kudaaadehk! Una kesi na mm ngoja nirudi utanikoma.Iangalie Jugglers Naskia ni Nzuri Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja kati ya Drama nisio ipenda, alafu nakumbuka ww ndio uliipigia promo humu. Najuta kupoteza GB zangu Kudaaadehk! Una kesi na mm ngoja nirudi utanikoma.Iangalie Jugglers Naskia ni Nzuri Sana
Nmuona Mzee Apo Hongera Zake tenajumamosi ijayo itaendelea, money flower ni balaaa yaani kang pil joo anaisanifu familia ya cheong A anavyotaka.
hivi pale mwisho nani kapata ajali ya gari kati ya pil joo na bo cheon kwa mtizamo wako?
Ila Mungu Anawaona Si Kwa Kutukatisha Ivi.Wiki hii ndio nilikuwa nasubiria majibu ila wameamua kuninyima.
Lakini ndio wameamua sasa nitafanyaje!
Kipi hakijakupendeza humo ndani, Mkuu?Moja kati ya Drama nisio ipenda, alafu nakumbuka ww ndio uliipigia promo humu. Najuta kupoteza GB zangu Kudaaadehk! Una kesi na mm ngoja nirudi utanikoma.
Ipoje!???Moja kati ya Drama nisio ipenda, alafu nakumbuka ww ndio uliipigia promo humu. Najuta kupoteza GB zangu Kudaaadehk! Una kesi na mm ngoja nirudi utanikoma.
Unajitetea sio?Ipoje!???
Usifananisha Na ile Ya Nothing to lose!!
money flower ost 2.
You mean this one?Ipoje!???
Usifananisha Na ile Ya Nothing to lose!!
Hahahahahhahahaah!Naona chenga 2, sunbae.
NdioYou mean this one?![]()
Usichoelewa!???Naona chenga 2, sunbae.
Nime-download audio yake ndio naisikiliza hapa.Usichoelewa!???
Inachekesha sana ni nzuri.Secret garden ni nzuri jaman nimeona episode 1&2...nkipat time ntaendelea
aji 3na kesho anakwenda kushinda tena tunzo akipenda mungu, ila huyu binti anapenda kupiga watu.hahahahahaaaaaaaaaaa
![]()
team strongest deliveryman
basi tuanzishe kampeni ya kutawaliwa na wakorea tupate kujifunza lugha yao, wajerumani,waingereza na waarabu walipotutawala hatukuambulia chochote.Nime-download audio yake ndio naisikiliza hapa.
Yaani naona chenga 2.
[돈꽃 OST PART.2] HANI,SOLJI(하니,솔지(EXID)) - Flame (Official Audio)
Sijapenda kabisa kwa jinsi alivyoamua ku-reveal 'trump card' kama ile kirahisi!hahahahhaaaaaaa inakadiriwa watu bilioni 5 duniani wanaisubiria kwa hamu siku ya jumamosi ili wapate kujua ni nani aliyepata ajali ya gari na kama wewe si miongoni mwa hao basi unapaswa ukaombewe kwa kakobe.
ila kitendo alichokifanya kang pil joo cha kuwadanganya watu zaidi ya billioni 5 ya kwamba baba yake na mo hyun amefariki hakisameheki,
aigooooo amejua kutuchezea akili zetu.
![]()
![]()