Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ona Ilo Smile la nguvu Kabisaaa.
Daebak!!!
 
Ona Ilo Smile la nguvu Kabisaaa.
Daebak!!!
hivi noona hizi make up zinatofautiana na nchi husika?
juzi moja kuna dada mmoja alikuwa anakwenda harusini basi kama kawaida alijipamba vizuri ila cha kushangaza alikuwa manjano usoni kama dhahabu.
lakini hawa wakorea makeup zao haziwabadilishi muonekano wa ngozi yao.
usisahau jang hyuk ana miaka 40.
 
Hahahhahaha! Aigooo!
Sijuhi Nisemeje Ila Sina Experience na Make Up Coz Niko Mshamba Pande Izo.
Ila wezetu Wako na Ujuzi Zaidi na Ivi Vitu Na Wako Kiprofessional Zaidi.Si uku kwetu ndo Tunaanza Kwaiyo Bado Bado.
Ila Uyo Itakuwa Alizidisha Sana Lol!! Mpaka Mtu unamkimbia.
 
Guyz naomba mnifundishe namna ya kudownload hiz drama za kikorea.

kuna program yoyote mnatumia kudownload?
au mnaotumia computa pia naombeni maujanja ya kuzishusha
 
Hii tuition naomba utufundishe aisee. Tutakuja kukutembelea huko zenji na nae Salang aminas utupe Nondo za maana.
 
Guyz naomba mnifundishe namna ya kudownload hiz drama za kikorea.

kuna program yoyote mnatumia kudownload?
au mnaotumia computa pia naombeni maujanja ya kuzishusha
mimi natumia software ya Internet Download Manager kwenye computer.
au kama huna software baadhi ya website zinakuwekea kitufe cha kudownload episode
kwa mfano
https://ondramanice.io/
 
Lol! Nishapaa tangu Jana.
Now Nasubilia Za Leo Japo Sijaweza Kupredict IPI Itachukua ila Bae Chang Wook lazima Abebe na Ma Soo bin Pia,Nawasiwasi Na SCHOOL 2017 Nayo Itachukua kwa chochote kile.
Aji 3, Mori, & Chang Wook...wote wakipokea tuzo basi itapendeza!
 
Damushin kuna kipindi ulikuja hapa na kuisifu sana the strongest deliveryman ila baadhi ya member walikupinga lakini naona Huyo chae so bin wa the strongest deliveryman na am not a robot aneonyesha kuwa the strongest deliveryman was one of the best Kdrama 2017
 
harabujiiiiii........
  • kama kang pil joo atakuwa ndiye aliyepata ajali atakapopelekwa hospitali ni lazima atahitaji msaada wa damu jambo ambalo litakuwa ni tatizo kwa sababu atajulikana identity yake ya kwamba ana uhusiano na ukoo wa mzee jang harabujiiiiiiiii
  • kama jang bo cheon ndiye aliyepata ajali nadhani pia itakuwa ni tatizo kwake kwa sababu pia atahitaji kuchangiwa damu na wanafamilia yake nahisi pia itakuwa ni tatizo kwa sababu huenda atajulikana ya kwamba hana uhusiano wa kidamu na ukoo wa jang harabujiiiiiiiiii............. au munaonaje kwa mtazamo wenu?
 
Sijapenda kabisa kwa jinsi alivyoamua ku-reveal 'trump card' kama ile kirahisi!

Ila kama alivyosema, yeye siku zote huwa ana 'Plan B' hivyo naamini alikuwa na lengo lake.
nahisi ile turufu atakuja kuitumia kwa ajili ya kuwabamiza kwenye ukuta familia nzima ya jang kwa sababu ana ushahidi wote wa sauti kuhusiana na vitisho walivyomtishia baba yake na mo hyun na kupelekea kutaka kujitoa uhai wake, na kisheria ni makosa kumtaka mtu ajiue.
ila ni mtazamo wangu...
 
Hihihihi! Sunbae ushaanza utabiri wako.

Kwani lazima mchangiaji atoke kwenye familia?
 
Damushin kuna Kitu Nataka angalia Kwenye Viki Inaniambia restricted Area ndo nini hii sasa
Tumia VPN, Mkuu.
Hapo maana yake ni kuwa hiyo video hauwezi kuitazama 'sababu unatokea Tanzania. Hihihihi!

Au tutajie jina lake nikupe alternative sources ikiwezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…