D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
noona sbs drama awards nao wana category nyingi sana na halafu mwaka huu wana drama nyingi sana zilizofanya vizuri, sijaangalia suspicious partner ila nitakuwa wa mwisho kuamini ya kwamba ji chang wook atashinda grand prize (daesang awards), labda category nyenginezo atashinda. waigizaji 16 wanawania tunzo ya daesang awards kupitia sbs drama awardsYah itapendeza.
Hihihihi.
Ila bae lazima na Kama kutakuwa na ile couple awards Wanaweza chukua pia.
Awards za Jana awakuwa na Iyo Couple award.
hahahahhahaaaaa kwenye drama lazima atokeee kwenye ukoo wa jang wamiliki wa cheong A ila kwenye maisha hata mbuzi anaweza kumchangia damu mwanadamu (natania)Hihihihi! Sunbae ushaanza utabiri wako.
Kwani lazima mchangiaji atoke kwenye familia?
Ebu fafanua Vizuri iyo VPN Naipataje!??Tumia VPN, Mkuu.
Hapo maana yake ni kuwa hiyo video hauwezi kuitazama 'sababu unatokea Tanzania. Hihihihi!
Au tutajie jina lake nikupe alternative sources ikiwezekana.
Kwa sasa video huwezi kuitazama 'sababu unatokea Tanzania hivyo VPN itaidanganya Viki kuwa unatokea nchi nyengine, mfano Marekani.Ebu fafanua Vizuri iyo VPN Naipataje!??
Hapana hiyo sio episode ya mwisho, inaendelea mpaka episode ya 18 ndio ya mwisho. Tafuta hizo episodes 3 zilizo baki umalizie uhondo wa Mr Black.Hv black imeisha maana nimeishia episode 15 maana huku nilipo majanga no net
Huwezi iangalia Hyo inamaana not certified kuonyeshwa tz under Viki app so download super VPN itakusaidiaDamushin kuna Kitu Nataka angalia Kwenye Viki Inaniambia restricted Area ndo nini hii sasa
Black lazima awapoteze maana alivyoigiza kwny saimdang haikuwa poanoona sbs drama awards nao wana category nyingi sana na halafu mwaka huu wana drama nyingi sana zilizofanya vizuri, sijaangalia suspicious partner ila nitakuwa wa mwisho kuamini ya kwamba ji chang wook atashinda grand prize (daesang awards), labda category nyenginezo atashinda. waigizaji 16 wanawania tunzo ya daesang awards kupitia sbs drama awards
- ji sung na uhm ki joon : kupitia defendant drama, sijaiangalia ila huenda ikashinda tunzo kwa sababu ilikuwa na rate kubwa sana.
- lee bo young na lee sang yoon : so cute, lee bo young ni mke halali wa ji sung naye pia anawania tunzo ya daesang kupitia drama ya whisper. hii pia sijaiangalia.
- nam goong min na yoon joon sang : kupitia drama ya distorted. hii pia siajiangalia, ila nam goong min sijui atahudhuria sherehe ipi kwa sababu kbs drama awards pia anawania kipengele cha grand prize kupitia drama ya chief kim. sijaiangalia ila ilikuwa na rate kubwa sana na huenda akashinda daesang kupitia drama hii.
- lee young ae : kupitia drama ya saimdang lights diary,ila sijui kwanini mtu wake mjr95 hagombanii tunzo hii wakati alikuwa ni muigizaji mkuu wa kiume, namzungumzia song seung hun (black). pia drama hii sijaiangalia.
- joo won na oh yeon soo : kupitia drama ya my sassy girl, niliishia episode ya 3
- lee jong suk na bae suzy : kupitia drama ya while you were sleeping.
- seo hyun jin: mmoja kati ya wanadada niliochelewa kuwafahamu katika ulimwengu wa korea drama, drama ya temperature of love ndio inayomfanya agombanie tunzo ya daesang, japokuwa sijaimaliza ila nadhani kwa waigizaji wa kike wengi huyu dada hawamuwezi labda kwa kuwa si idols ndio maana alikuwa hapewi heshima kubwa sana mwanzoni ila kwa sasa offer zinamfuata mwenyewe, bado naiangalia romantic doctor teacher kim kwa ajili yake.
Jamaa wana wivu mpaka wananikera aisee unamuachaje mtu kama Song Seung Hun.? Ile kazi amefanya kwenye Black sio ya kitoto kabisa. Na hizo tunzo sito fatilia acha wajipe tu.noona sbs drama awards nao wana category nyingi sana na halafu mwaka huu wana drama nyingi sana zilizofanya vizuri, sijaangalia suspicious partner ila nitakuwa wa mwisho kuamini ya kwamba ji chang wook atashinda grand prize (daesang awards), labda category nyenginezo atashinda. waigizaji 16 wanawania tunzo ya daesang awards kupitia sbs drama awards
- ji sung na uhm ki joon : kupitia defendant drama, sijaiangalia ila huenda ikashinda tunzo kwa sababu ilikuwa na rate kubwa sana.
- lee bo young na lee sang yoon : so cute, lee bo young ni mke halali wa ji sung naye pia anawania tunzo ya daesang kupitia drama ya whisper. hii pia sijaiangalia.
- nam goong min na yoon joon sang : kupitia drama ya distorted. hii pia siajiangalia, ila nam goong min sijui atahudhuria sherehe ipi kwa sababu kbs drama awards pia anawania kipengele cha grand prize kupitia drama ya chief kim. sijaiangalia ila ilikuwa na rate kubwa sana na huenda akashinda daesang kupitia drama hii.
- lee young ae : kupitia drama ya saimdang lights diary,ila sijui kwanini mtu wake mjr95 hagombanii tunzo hii wakati alikuwa ni muigizaji mkuu wa kiume, namzungumzia song seung hun (black). pia drama hii sijaiangalia.
- joo won na oh yeon soo : kupitia drama ya my sassy girl, niliishia episode ya 3
- lee jong suk na bae suzy : kupitia drama ya while you were sleeping.
- seo hyun jin: mmoja kati ya wanadada niliochelewa kuwafahamu katika ulimwengu wa korea drama, drama ya temperature of love ndio inayomfanya agombanie tunzo ya daesang, japokuwa sijaimaliza ila nadhani kwa waigizaji wa kike wengi huyu dada hawamuwezi labda kwa kuwa si idols ndio maana alikuwa hapewi heshima kubwa sana mwanzoni ila kwa sasa offer zinamfuata mwenyewe, bado naiangalia romantic doctor teacher kim kwa ajili yake.
Black yupi mkuuBlack lazima awapoteze maana alivyoigiza kwny saimdang haikuwa poa
sent using TV ya chogo