hongera kwake Jung Jun Won na azidishe juhudiKBS wameanza na Child Award Ambaye Imeenda kwa Jung Jun Won Ambaye Amecheza Kwenye Father is Strange
hongera kwake na azidishe juhudi na asibweteke kama wasanii wa bongoKwa SBS Nao Wameanza Na Child Awards Ambayo umeenda kwa Kim jin Min wa Super Family
Hongera Zake.
Thanks Man Ngoja Nikuachie Mi Nikale kwanza..Byehongera kwake Jung Jun Won na azidishe juhudi
amemshukuru director, writer, na senior actors wote aliofanya kazi nao kwa msaada mkubwa waliompa, pia ameishukuru management yake inayomsimamia na mwisho amempa shukurani sana mama yake kwa kuwa upande wake muda wote na pia amemalizia kwa kumshukuru bibi yake anayeishi country side kwa hamasa kubwa anayompa.
hahahaaaaa hongera kwake jamaaa ameigiza drama nyingi sana mwaka huu, anastahiliBest Supporting Actor Kwa SBS imeenda kwa Kim Won Hae wa While your where Sleeping Yule Prosecutor.
Hawampendelea kabisa. Hongera zake!hahahaaaaa hongera kwake jamaaa ameigiza drama nyingi sana mwaka huu, anastahili
imemchukua miaka 50 kushinda tunzo, sijui kama ni kweli au ni utani wa kuukaribisha mwaka mpya
hongera kwake ameanza kwa kumshukuru mungu,director na staff wote aliofanya nao kaziFemale child Wako 5 Nominees,and the Awards Goes to Yi Rae wa Watch Court.
Hongera Zake.
noona usifanye hivyo hapa nilipo naangalia drama ya the producer ameigiza kim so hyun, isitoshe sipo kwenye wifi hivyo basi nimebakiwa na mb 50 tu.Thanks Man Ngoja Nikuachie Mi Nikale kwanza..Bye
Hahahahhahahahahahaha! Suzy na Jong suk Wamenifanya Nirudi.noona usifanye hivyo hapa nilipo naangalia drama ya the producer ameigiza kim so hyun, isitoshe sipo kwenye wifi hivyo basi nimebakiwa na mb 50 tu.
Bora umerudi 'coz nilitaka nikamate kijiti mwenyewe. Hihihihi! (natania)Hahahahhahahahahahaha! Suzy na Jong suk Wamenifanya Nirudi.
Woyoooooo
Yaani mi APA napta shida coz ntumia Simu kwaiyo Kutype Inanipa shida Yaani ndomna.noona usifanye hivyo hapa nilipo naangalia drama ya the producer ameiginiza kim so hyun, isitoshe sipo kwenye wifi hivyo basi nimebakiwa na mb 50 tu.
Chukua Tua Wala UcjariBora umerudi 'coz nilitaka nikamate kijiti mwenyewe. Hihihihi! (natania)
WapoooHizo drama nyengine ndio kwanza naanza kuzisikia leo.
My Father is Strange kuna aliyeiona?
Nina kimeo changu hapa ndio najikongoja nacho! Bora endelea tu.Chukua Tua Wala Ucjari