Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Supporting Actor na Actress kwa KBS awa wameshinda Wawili.
Kwa Male Imeenda kwa Kim Sung Oh wa Fight for My Way na Choi Won Young Wa Mad Dog
Na Kwa Female imeenda kwa Jung Hye Sung Wa Man Hole na Lee il Hwa wa Chief Kim
Hongera Zao.

hongera ahjussi choi won young unastahili, my first time kukuona ilikuwa ni the heirs ila mwaka huu nimekuona kwenye while you were sleeping na doubtful victory zote za sbs na mad dog.
amesema: kwa sasa nafahamu kwa nini watu huwa na furaha pindi wanaposhinda tunzo, ametoa shukrani zake kwa director na timu nzima ya mad dog pamoja na familia yake.

hongera kim sung oh naamini hutotuangusha kwenye hwayugi fighting ahjussi
ameanza kwa kumshukuru director na timu nzima, ameendelea kusema ya kwamba mwaka jana alishinda tunzo lakini akasahau kumtaja mke wake basi wife alikereka sana ila anategemea mwaka huu mke wake hatokereka kwani amemtaja.

hongera mwanamama lee il hwa kwa kushinda tunzo,amemshukuru director na timu nzima,pia amemshukuru mama yake na mwanawe ambapo kwa sasa wanaelekea spain

hongera jung hye sung kwa ushindi, amesema zawadi hii ni ya maana sana kwake kwani ni mara yake ya kwanza kushinda,pia ameshukuru director na crew nzima pamoja na wazazi wake kwa hamasa wanayoionyesha kwake kwani kila wiki walikuwa wakimuangalia kupitia televisheni
 
Hao wote nakubali wamestahiki. Hongera zao!
 
Aigooooo best Couple Kwa KBS goes to Park Seo Join na Kim ji Woon wa Fight for My Way
Oyooooooo Drama Zangu Leo Zinchukua tuh
Hongera Zao Sana Sana.
 
Umerudi Baba,Kamshmnida
 
KBS wamefata na Best New Actor and Actress
Kwa Male Imeenda kwa Ahn jae Wa Fight for My Way na Woo Do Hwan wa Mad Dog Hongera Zao
ahn jae won hongera kwako ila nimeumia sana kutokushinda kwa kim seon ho,
fighting

hongera kwako woo do hwan kiukweli umestahili,
ushindi huu ni mkubwa sana, na unanifanya nikumbuke wajibu wangu katika maisha yangu ya kila siku, kama si director na crew nzima ya mad dog leo hii nisingelikuwa mbele yenu,pia niishukuru familia yangu kwa kunipa muongozo na support kubwa sana,mwisho amemalizia kwa kusema anahitaji kuishi kama binadamu
 
Woyooooooo School Imechukua Kim Seojong wa School Kachukua New Actress na Ryu Hwayung wa Mad dog
Hongera Zao
School 2017 Ishachukua Anaongea huku anatetemeka Maskini
Iyo KBS

hongera ryu hwa yung noona, fighting, anasema ushindi huu pia uwe ni faraja kwa dada yake ambaye janahakushinda tunzo za MBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…