Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

SBS Wanaendelea na Excellence Awards

yap namuona lee jong suk akibeba tunzo ya pili kwa drama za siku ya jumatano na alhamisi, kiukweli anastahili japo kuwa EMPTY dongsaeng hakuipenda while you were sleeping.
naye pia anasema anaona amebebeshwa mzigo mkubwa sana kwa kushinda tunzo hii, pia amewaomba radhi mashabiki kwa kushindwa kuwashukuru pindi alipokuwa akishinda tunzo miaka iliopita kwani bado alikuwa ana miaka 20 ila kwa sasa amekuwa kwani anaelekea miaka 30, na ameahidi kujituma zaidi.

kwa upande wa kike ameshinda suzy, ameanza kwa kuwashukuru mashabiki na crew nzima ya while you were sleeping, pia amesema kila anaposhinda tunzo huwa na woga sana kwani anafahamu ya kwamba bado ana mengi ya kujifunza na bado anajihisi hajawa kwenye ubora
 
Damushin sunbae,
Mbona 'While You Were Sleeping' niliendeleza.
Kuna episodes chache tu kuanzia ya 11 hadi 13 au 14 ndio nilikuwa naruka/seek forward baadhi ya scenes.

Ila mbele kweli ulikuwa moto! (ep 14 hadi mwisho kama sijasahau)
 

KBS Special tribute kwa muigizaji Kim Young Ae aliyefariki mapema mwaka huu
mtoto wake lee min woo anasema ya kwamba ni mara ya 3 au ya 4 kupokea tunzo kwa ajili ya mama yake, kiukweli anashukuru sana wale wote wanaopenda kazi za mama yake, pia anasema ya kwamba hakuwahi kupata nafasi ya kutoa shukurani zake kwa wale wote wapenzi wa kazi za mama yake ila kupitia tunzo anawashukuru kutoka moyoni kwa kumjali mama yake hata kama hayupo tena kimwili na kiroho kwenye ulimwengu huu.
 
kbs best couple
  • Witch's Court = Yoon Hyun Min and Jung Ryeo Won
  • Go Back Couple =Son Ho Jun and Jang Nara
  • My Golden Life =Park Shi Hoo and Shin Hye Sun
  • Fight My Way =Park Seo Joon and Kim Ji Won
 
Lee Dong Gun wa Seven Days Kachukua kwa KBS Excellence Award kwa Male
hongera lee dong gun

ilikuwa ni uhusika niliousubiri kwa muda mrefu, amemshukuru director, staff member,mke wake na mtoto wake kwa support kubwa waliompa.

pia hongera kwake junho: nilidhani moyo wangu utapasuka baada ya kujiona kwenye video,heshima kwake nam goong min na timu nzima ya chief kim.
 
Top Excellence in Acting, Monday-Tuesday Dramas (SBS DRAMA)
Ameshinda nam goong min lakini sherehe za SBS hakuhudhuria na amehudhuria sherehe za KBS.

kwa mwanamke ameshinda lee bo young kupitia drama ya whisper, lee bo young ni mke wa jisung, sikutarajia kushinda kwa sababu sikuwa kwenye ubora na nilikuwa nikijilaumu kila wakati, namshukuru director na timu nzima ya whisper, mwisho nimuombe radhi director kwa kutokufanya vizuri
 
SBS DAESANG AWARDS (grand prize)
Hongera kwake ji sung kupitia drama ya defendant,ninaiweka kwenye list ya kuitazama

bado najiuliza kama hichi kinachotokezea kina ukweli wowote?
nimeshinda tunzo hii si kwa sababu nimefanya vizuri bali drama hii imefanya vizuri,
amemshukuru sana uhm ki joon na amesema tunzo hii ni ya uhm ki joon na si ya kwake,
pia amewashukuru mashabiki kwa kumuunga mkono kwa miaka 19
na amemalizia kwa kumshukuru mke wake lee bo young na mtoto wao.

daebak.....
utabiri wangu umetimia
 
Hongera kwake! Defendant mwanzo mwisho ilikuwa Debaek!!
 
Excellent actress for mid-length dramas (kbs drama)
Jo Yeo Jeong ameibuka mshindi kupitia perfect wife drama.
ni vigumu sana kuigiza uhusika wa mentally unstable,lakini mimi ni mtu wa kawaida sana na natoa shukrani zangu kwa director na wale wote waliokuwa pamoja nami,nategemea nitapata nafasi ya couple role mara nyengine.
 
Excellence in Acting Awards for daily dramas (kbs drama)
hongera kwake kim seung soo kwa ushindi:

namshukuru mungu mwaka jana nilisema nahitaji kushinda tunzo lakini niliishia kuwa presenter,nitoe shukrani zangu kwa watu wangu wote wa karibu.

kwa upande wa mwanamke ameshinda Im Soo Hyang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…