Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huyu jamaa wa kuitwa juan moses ni hatari sana aisee mana unavyochambua hizo history ka mkorea OG
 
Hivi hizo nations kama shilla gorguryo na manini sijui ni kwel kwamba yalikuwepo zamani na si story tu za series ka nijuavyo
 
Hivi hizo nations kama shilla gorguryo na manini sijui ni kwel kwamba yalikuwepo zamani na si story tu za series ka nijuavyo
Sio Stori Bro Hizo Ndio Maana Zinaitwa Historical Drama Ni Vitu Vilivyotokea Na Watu Waliokuwepo Kipindi Hicho. Sawa Na Movie Ya TITANIC
 
Ddol bok ndiye alikuwa nomaaa, bila kumsahau captain of royal guadrs muhyool jamaa hajawahi kupigwa, ila kuna Siku ile last episode lile dubwana aliyenyoa kiduku alifunika wote wakafa! Deep roots ni nomaaa!
 
Jamaa Si ndiye kinara king gwangaeto?
 
A man called a god...hiyo n hatar sana
 
Huyu Song il guk (Chumong) huku tumemzowea tu, kutokana tulivyo mfahamu ktk Jumong. Lakini katika Korean actors hana nafasi sana. Actors maarufu ktk martial srts ni huyu jamaa.

Choi Soo Jong


Nimemsoma, ktk emperor of the sea alicheza as jang bogo! Jamaa ki ukweli anaweza kuliko jumong!
Pia kwa hisia jamaa ni anga nyingine hiyo!
 
Nimemsoma, ktk emperor of the sea alicheza as jang bogo! Jamaa ki ukweli anaweza kuliko jumong!
Pia kwa hisia jamaa ni anga nyingine hiyo!

Ah Kumbe Umeshamjua,Basi Haina Shida Janguuuuuuuuuuuuun!
 
Na huyu je, mnamkubali?
 

Attachments

  • 1454496944095.jpg
    24.2 KB · Views: 119
A man called a god...hiyo n hatar sana
Be strong geumson! Nimeikubali ambae hajaiona na aitafute hatajuta.

Hiyo A man called a God. Ukweli haikunivutia sana, matukio yake haya uhalisia. Ila sio mbaya sana.
 
Aisee, kati ya zote nilizoziona, slave hunter ni fupi sana!

kuna nyingine nimekutana nayo inaitwa AGE OF WARRIORS enzi za GORYEO ina episode 158 hapa nataka nianze kuangalia leo hii.maana kuna mapigano humo ni nyokoooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…