안녕. 집에 뭐 해체요?Anyeong Chingu's, .
Mi Aya Ya Kukorogo Siyaelewagi안녕. 집에 뭐 해체요?
umechokoza wenye lugha sasa ngoja wakunyooshe.Mi Aya Ya Kukorogo Siyaelewagi
nimependa signature yako mkuu.안녕. 집에 뭐 해체요?
hii taarifa umeiona wapi na mimi nipate kuisoma noona.nilipokuwa naangalia voice drama ya jang hyuk kuna episode moja nilipata kuona mjengo anaomiliki jang hyuk.God of Investment name list released …
On the 15th Jan, TVN published a "investment top star" name list, revealing stars who are savvy in investments.
Jang Hyuk, who took first place, was reported to be a real estate artisan. Jang Hyuk bought a building in Yeongdong market in Nonhyun-dong for 15.5 billion won in 2015. This building is a double station area and boasts a good location with no fear of vacancy. It is said that last year, the city market surpassed 18 billion won, and the market profit is more than 2.5 billion won. In addition, it was found that monthly rents earn more than 50 million won.
We Si ndo Wasababisha Yote Haya.yaani kuwatania kidogo tu ya kwamba nachukua likizo ya kuangalia korean drama ndio mumeamua kununa wiki nzima.
aigooooo kila nikipita ndani ya thread watu wote kimya
EMPTY dongsaeng, aminas noona hivi munadhani kwangu mimi ni rahisi sana kuacha kuangalia korean drama labda nipoteze computer na pia nikose huduma ya internet.
Kwenye Thread Yake Kule Soompi.Wameandika Ivyo Ivyo Kifupi.hii taarifa umeiona wapi na mimi nipate kuisoma noona.nilipokuwa naangalia voice drama ya jang hyuk kuna episode moja nilipata kuona mjengo anaomiliki jang hyuk.
Nikiwa Wapi!????umechokoza wenye lugha sasa ngoja wakunyooshe.
anakuuliza unafanya nini ukiwa nyumbani?
kwa msaada wa google translate
ni kweli video quality haipo vizuri na inachangiwa zaidi na uzamani wa drama kama tunavyofahamu teknolojia ya zamani na tofauti na ya leo na ya kesho.Mkuu Damushin Sunbae leo nimeanza ile Drama ya Emperor wang gun nime download kupitia web ya Dramanice tatizo video yake sio nzuri yaani aiko clear huenda sababu ya uzamani.
Awa Watu Wanalipwa Vizuri Tuuh.hii taarifa umeiona wapi na mimi nipate kuisoma noona.nilipokuwa naangalia voice drama ya jang hyuk kuna episode moja nilipata kuona mjengo anaomiliki jang hyuk.