Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

OCN Romance wamekuja na hii Drama inaitwa LONGING HEART. Aya kama hujaicheki fanya haraka ukaipakue binafsi iko poa sijui kwako itakuwa vp. Lee Jung Shin na Lee Yul Eum wamehusika humo ndani kunogesha hiyo Drama.
 
kiukweli hizi recent drama zimeshaniachia athari kubwa sana na inafika wakati nashindwa kuwa na hamu kabisa ya kuangalia drama ambazo zimepita muda wake.
  • mwezi uliopita nilianza kuangalia playfull kiss drama ila nimeishia episode ya 3,nikimuangalia jung so min wa play full kiss drama na wa kwenye because this is my first life drama ni mwili mmoja ila nafsi tofauti kabisa.
  • the producer drama nayo pia nimeganda episode ya 8,kiukweli sijui najionaje ninapoiangalia huwa nahisi kama naangalia bongo movies
  • nahisi njia pekee ya kuweza kuangalia drama za zamani ni kuacha kuangalia drama zinazoendelea.Hivi kuna mwengine anayesumbuliwa na ugonjwa kama wa kwangu mimi?
 
Hahahhhhahhaa!! Hata mimi nilijaribu kuangalia drama ya 'Secret Garden' (uliisifia sana) lakini nikaishia ep ya 3 na sina plan za kuiendeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…