D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Sunbae,
Kuna dramas zipi zenye kuzungumzia maisha ya mfalme Sejong the Great?
Nimewahi kuyaona kwa ufupi katika dramas kama 'Six Flying Dragons' & 'Jang Yeong-sil'.
EMPTY Naomba tumrudishe Kwao Uyu Coz Sidhani Kama kazaliwa Zanzibar Uyu..leo nataka nianze kuiangalia drama ya Admiral Yi SOON SHIN (joseon naval commander)
https://ondramanice.io/drama/the-immortal-yi-soon-shin-detail
- amezaliwa april 28/1545 nchini joseon.
- mwanadamu ambaye hakuwahi kushindwa kwenye vita yoyote ya baharini,alipigana vita 23.
- mwanadamu aliyepeleka kilio kikubwa kwa wajapan hususan kwa kiongozi wao toyotomi hideyoshi kwenye vita ya Imjin (imjin war)
- mwanadamu aliyewafundisha wajapan kuwa na heshima, kwenye vita ya myeongnyang jeshi la maji la japan lilikuwa na meli 133 na jeshi la joseon lilikuwa na meli 13 tu,lakini cha kushangaza joseon walifanikiwa kuziharibu meli 31 za japan huku meli zote za joseon zikibaki salama.
- alifariki december 16/1598 baada ya kupigwa risasi kwenye vita ya noryang. BAADHI YA NUKUU ZAKE
- My life is simple, my food is plain, and my quarters are uncluttered. In all things, I have sought clarity. I face the troubles and problems of life and death willingly. Virtue, integrity and courage are my priorities. I can be approached, but never pushed; befriended but never coerced; killed but never shamed.
- Those who seek death shall live. Those who seek life shall die.
- Don't make a hasty movement. Be like a mountain. Move silently and cautiously
- Your Highness, I still have twelve battleships
- We are at the height of battle. Don’t let anybody know about my death!
- A man needs a friend to share goals with, a woman to share his heart with, and a nation to serve with all of his heart. That's the best life one can live.
- Hahahahaaaaaa hapa nilipo nipo karibu sana na bahari ila mpaka leo kwa jinsi ninavyoiogopa bahari nimeshindwa kujifunza kuogelea ila cha kushangaza samaki nawapenda mnooo. acha nimuangalie mfalme wa bahari huenda nami nikaondokana na uwoga na mwisho wa siku nikawa commander wa jeshi la majini THE TURTLE SHIP
Na Mie ngoja Nianze Angalia Hiii.leo nataka nianze kuiangalia drama ya Admiral Yi SOON SHIN (joseon naval commander)

aigooooo unaanza utani, jana black knight imeendeleaje?EMPTY Naomba tumrudishe Kwao Uyu Coz Sidhani Kama kazaliwa Zanzibar Uyu..
aigooo video quality i yake haitakukera kwa sababu ni drama ya 2004 na ina episode 104Na Mie ngoja Nianze Angalia Hiii.
Mpka muda huu sijaitazama ndo naishusha APA.aigooooo unaanza utani, jana black knight imeendeleaje?
naona mzee park episode ya wiki iliopita alimtumia message za uchochezi jung hae ra kuhusiana na baba yake kuhusika na kifo cha baba yake moon so hoo.
ila Sharon naye ni king'ang'anizi
Mpka muda huu sijaitazama ndo naishusha APA.
Hihihiiihi!EMPTY Naomba tumrudishe Kwao Uyu Coz Sidhani Kama kazaliwa Zanzibar Uyu..
Hiii Signature Yako Duuh.chombo kimoja cha habari kinachoandika taarifa mahususi zinazohusu tasnia ya uigizaji nchini korea leo hii kimeripoti ya kwamba mwanadada jang na ra amepata ofa ya kuigiza kupitia drama inayokwenda kwa jina la Dog, witch and me.
kwa ufupi jang na ra ataigiza uhusika wa mwanamke ambaye ni mlemavu wa macho ambaye alikuwa na upendo mkubwa kwa mnyama wake.
wakati huo huo Rawon Culture ambayo ni kampuni inayomsimamia jang nara wamethibitisha taarifa hizo lakini hakuna makubaliano yoyote yaliofikiwa mpaka sasa kwani mteja wao ana offer nyingi sana.
kama jang nara atakubali kushiriki kwenye drama hii itakuwa ni project yake ya kwanza kwa mwaka 2018,mwaka uliopita alishiriki drama inayojulikana kwa jina la go back couple
True Ni best drama Kwake, Ukilinganisha Na Family Book.
- ngoja nami niihifadhi kabisa ila sitaiangalia kwa leo.
- hwayugi episode ya sita sijaiangalia mpaka muda huu, halafu inashangaza sana drama ya hwayugi inafika jumanne subtitle haijakamilika kuwekwa.
- nimebahatika kuangalia gu family book, my girlfiend is gumiho, king to hearts na shining inheritance ila project hii ya hwayugi nahisi ndio bora zaidi tokea lee seung gi aanze kazi ya uigizaji.
- cha seung won naye ameitendea haki sana nafasi ya ma wang, nilipokuwa naangalia episode ya 5 aliporudi kwenye dunia ya mwaka 1930 wakati sam jang alipopigwa risasi kwa ajili ya kumtafuta mtoto wa kijapan kiukweli nilikuwa natamani ma wang na yule mwanadada anayempenda sana anaitwa na chal nyeo warudi pamoja kwenye dunia ya sasa hivi, ila ndio hivyo fate
- P.K (lee hong ki) na yule mdada bong soon (zombie) wananiburudisha sana uhusika wao
Tumrudishe Kwao Tuuh Uyu Wala Si Mwenzetu.Hihihiiihi!
Yaani huwezi amini nikipokea alert/notification ambayo inatoka kwake huwaga naibofya upesi upesi kisha naaza kuisoma post aliyoweka nukta hadi nukta.
Sunbae Damushin,
Tuweke wazi 'sababu mabandiko/posts zako sio za nchi hii.
Mmmhhh!! Ngoja Nianze ifikiria.aigooo video quality i yake haitakukera kwa sababu ni drama ya 2004 na ina episode 104
Hahahahaahhaaaaaa Damushin Shukrani sana ndugu umenikumbusha mbali sana kwa bandiko lako hili. Hii Drama nakumbuka niliangalia mwaka 2015 tena sikuimaliza sikumbuki ata nilihishia episode ya ngapi. Hahaha hii Drama ilinitesa sana nakumbuka nilikuwa naenda kuitizama kwa rafiki yangu kila siku ilipo kuwa ikifika saa 3 usiku tunashusha kama episodes 2 ama 3 kisha ndio naenda kulala. Nakumbuka nilihama yale maeneo ndio ikawa mwisho wa kuifuatilia hii kitu, aisee leo nimekutana na bandiko lake humu hahaaa safi sana kiongozi.leo nataka nianze kuiangalia drama ya Admiral Yi SOON SHIN (joseon naval commander)
https://ondramanice.io/drama/the-immortal-yi-soon-shin-detail
- amezaliwa april 28/1545 nchini joseon.
- mwanadamu ambaye hakuwahi kushindwa kwenye vita yoyote ya baharini,alipigana vita 23.
- mwanadamu aliyepeleka kilio kikubwa kwa wajapan hususan kwa kiongozi wao toyotomi hideyoshi kwenye vita ya Imjin (imjin war)
- mwanadamu aliyewafundisha wajapan kuwa na heshima, kwenye vita ya myeongnyang jeshi la maji la japan lilikuwa na meli 133 na jeshi la joseon lilikuwa na meli 13 tu,lakini cha kushangaza joseon walifanikiwa kuziharibu meli 31 za japan huku meli zote za joseon zikibaki salama.
- alifariki december 16/1598 baada ya kupigwa risasi kwenye vita ya noryang. BAADHI YA NUKUU ZAKE
- My life is simple, my food is plain, and my quarters are uncluttered. In all things, I have sought clarity. I face the troubles and problems of life and death willingly. Virtue, integrity and courage are my priorities. I can be approached, but never pushed; befriended but never coerced; killed but never shamed.
- Those who seek death shall live. Those who seek life shall die.
- Don't make a hasty movement. Be like a mountain. Move silently and cautiously
- Your Highness, I still have twelve battleships
- We are at the height of battle. Don’t let anybody know about my death!
- A man needs a friend to share goals with, a woman to share his heart with, and a nation to serve with all of his heart. That's the best life one can live.
- Hahahahaaaaaa hapa nilipo nipo karibu sana na bahari ila mpaka leo kwa jinsi ninavyoiogopa bahari nimeshindwa kujifunza kuogelea ila cha kushangaza samaki nawapenda mnooo. acha nimuangalie mfalme wa bahari huenda nami nikaondokana na uwoga na mwisho wa siku nikawa commander wa jeshi la majini THE TURTLE SHIP
Zile Drama Ndo Hizi kwa Ninazozikumbuka.Nitajie dramas zako bora za miaka yote ambazo umewahi kuziona.
Nataka nione taste yako. Hihihihihi.
Asante sana! Ila umenisababishia kukesha maana huu mzigo bila nihgt bando hausogei hautoboiZile Drama Ndo Hizi kwa Ninazozikumbuka.
Jumong
The Land of Wind
Emperor of The Sea
Gu Family Book
Empress Ki
Kings 2 Hearts
Night Watch Man
Scholar who Walks The Night
DOTS
Blood
Doctors
Faith
Personal Taste
The Heirs
Healer
K2
City Hunter
The Legends of the Blue Sea
Criminals Mind
Six Fly Dragon
Suspicious Partner
Remember
The King In Love
Moorim School
Cheese In The Trap
Goblin
Uncontrollably fond
My Love from Another Star
It's OK,This is Love
Warrior Baek Dong So
Rebel.Thief who stole the People
Ruler Master of the Mask
Moon Lovers Scarlet Heart Ryeo
Queen 4 7 Days
While You Were Sleeping
W
My Sassy Girl
Entertainment
Reunited World
You're All Surrounded
SCHOOL 2017
Cinderella & 4 Knights
Money flower - Ongoing
Black
Hwayugi - Ongoing
My Girlfriend Is Gumio
I'm Not A robot - Ongoing
Black Knight - Ongoing