Lung'wecha
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 927
- 574
nifah hebu nielekeze jinsi ya kudownload korean drama,na software yake please!!Fanya hivyo soon basi jamani?
Maana hapa namalizia Faith,sijui nianze na ipi maana ni nyingi mno.
Ungeweza kunichagulia moja aliyocheza my favourite actor of all time II Guk Sung (Jumong) ningefurahi sana.
Achana na Jumong,emperor of the sea,Kingdom of Wind nishacheki zote.
Kuna hawa jamaa: Asian Drama - Movies and Shows Hao hawana collection nyingi lakini walizonazo zipo kwenye good quality. Likewise, kuna dramafire.com. Hao wana collection za kutosha lakini hazina quality nzuri compared to myasiantv. Dramafire ni wazuri interms of budgets coz' ma-file yake yamezidi sana 150 MB. Zote unatakiwa kuwa na Internet Download Manager.nifah hebu nielekeze jinsi ya kudownload korean drama,na software yake please!!
sijakuelewa bibie!cc Juan mosses
Anza na hii basi hautajuta.Ooh God!
Nimemaliza kuangalia HONG DIL GONG,
Machozi yamenitoka, sipendi kuangalia Movie hlf Star afe.
:'(
Anza na hii basi hautajuta.
"My Love, Eun Dong"
My Love, Eun Dong | Watch Korean drama online, Korean drama English subtitle
Kama unabundle ya kutosha angalia hapa My Love Eun-Dong at Dramanice
Hapo wana quality 720p
Ulikuwa unaangalia ITV au ulikuwa na CD maana ITV walikuwa hawarushi vipande vyote.Iris hasa iris i
Ivi inaendelea? Niliishia iris ii ep12
Mkuu GIANT ni Kali Sana japo sijaimaliza niko naiangalia. Mkuu niwekee nami least yako nitafute ambazo sijaona.nimeangalia nyingi mno ila sijui kwanini sijapata ya kunibamba kama GIANT
three days, king gwaengo, iljimae, swallow the sun, ngoja nikumention sehemu utaenjoyMkuu GIANT ni Kali Sana japo sijaimaliza niko naiangalia. Mkuu niwekee nami least yako nitafute ambazo sijaona.
Chief,The Giant haina mpinzani,bahati mbaya nimeishia season 1nimeangalia nyingi mno ila sijui kwanini sijapata ya kunibamba kama GIANT