Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahaaa kweli leo umepatikana haswaa. Vp ni nzuri ili niongeze katika lisiti yangu pia.
Naweza kukwambia nzuri halafu ikaja kuwa mbaya,ngoja kwanza ianze ndiyo ntakuwa na jibu sahihi. Ila mie siku hizi nimekuwa na tabia mbaya yani naweza kuacha kuangalia drama nzima kisa mtu mmoja tu au kitu kimoja tu kikiwa kinaniboa kwenye hiyo drama.

Yani kuna baadhi ya waigizaji nikijua wapo kwenye hiyo drama basi sitaiangalia hiyo drama.
 
Huyu mwana dada namkubali sana,yani wakorea wanavyopenda kuweka comedy kwenye drama zao basi huyu huwa anatendea haki hadi huwa natamani nimuone kwenye maisha ya kawaida huwa yukoje.
 
Chukahe...Mola Kamvusha Salama Uzazi Si Mchezo
 
Mrs Ju mong,
Ngoja Tuone Itakuaje Iyo Kazi Kapotea Sana Familia Sijuh Zinawabana!.
 




Tushaona Battle ya Harabeoji na Mjukuu, Sasa Bado ya Awa Wawili Naitamni Sana Kuiona..

Episode ya Wiki Jana Niliifurahia Sana, Nategemea Ya Leo Itakuwa Vile Vile..
 


Tutarajie Kuona Ndoa Ndani ya Hwayugi Ya Awa Wawili?
Tukutane Badae ya Leo KWA Wanaoijua Hangul Kama EMPTY
Tusojua Tukutane Jumanne InshaAllah.
 

Ma.........

Nimejikuta Natamani Kumuona Uso kwa Uso Uyu Mtu.

Tangu Atoke Jeshini Amekuwa Busy Sana, Yupo Na drama (Hwayugi), Ana Variety Show (Master In The House), Ana Upcoming Movie,Amekuwa Mc, Bado Ana show Za Music Kuna Nyengine Aliifanya Dec Apo.

Tunatafuta Ela Kwa Nguvu Tuzibe Miaka 2 Tulotumia Jeshini.
 
Nimehangaika kuitafuta kwa kuandika Jingbirok wakati naelekea kukata tamaaa nimeikuta.... KUMBE PALE JUU JINA KWA kIINGEREZA LIPO. HAHAHAAAA NASHUKURU KWA HII
 
aigoooooo nimeanza kukuogopa kama ninavyomuogopa swahiba wako wa karibu mjr95 yaani mimi kuweza kuandika maelezo kama ya kwako wewe itanipasa nifikirie siku nzima.najihisi nina upungufu mkubwa sana wa maneno, kiukweli najiona kila siku maneno yangu hayabadiliki kuanzia kuzungumza kwangu hadi kuandika.
je inawezekana sababu ni mvivu wa kusoma?
 
duh hii post yako imenifanya nikumbuke ya kwamba nina kiporo changu cha moonlight drawn by clouds drama, kuanzia episode ya 10 hadi 18.
aigoooooo ngoja nianze kutafuta kuni ili nikipashe moto
 
omo kkamjagg, kwa mujibu wa list yako kama ni idadi ya madeni basi nadaiwa 13.
Night Watch Man
Scholar who Walks The Night
Doctors
Healer
SCHOOL 2017
Cinderella & 4 Knights
It's OK,This is Love
My Sassy Girl
Entertainment
Reunited World
Cinderella & 4 Knights
Suspicious Partner
Remember


deni lako nivumilie nitakulipa siku atakayoondoka madarakani mzee wa chato.

 
duh hii post yako imenifanya nikumbuke ya kwamba nina kiporo changu cha moonlight drawn by clouds drama, kuanzia episode ya 10 hadi 18.
aigoooooo ngoja nianze kutafuta kuni ili nikipashe moto
Hahaaa Mkuu leo ndio unaliona hilo bandiko? Pongezi kwako kwa kila ufanyalo katika khaki.
Vp drama yetu uko namba ngapi?
 
Hahaaa Mkuu leo ndio unaliona hilo bandiko? Pongezi kwako kwa kila ufanyalo katika khaki.
Vp drama yetu uko namba ngapi?
  • admiral yi soon shin nipo episode ya 20.
  • hili andiko nimeliona zamani ila baadhi ya wakati huishiwa maneno ya kujibu. hahahahahahhaha usishangae
 
  • admiral yi soon shin nipo episode ya 20.
  • hili andiko nimeliona zamani ila baadhi ya wakati huishiwa maneno ya kujibu. hahahahahahhaha usishangae
* Hahaaa sishangai ndugu ata mm hali hiyo hunitokea, unakuta tu sina cha kuandika.
* Duh! Unakimbiza balaa....... mi kuna shughuli nilipata kwahiyo nikasimama nafikiri nitaendelea Jumatatu nikijaliwa.
 
boss wa korean drama company : hellow damushin, ombi lako la kuomba likizo bila ya malipo limekubaliwa hivyo basi kuanzia kesho likizo yako itaanza rasmi.
damushin: ahsante sana boss mkurugenzi kitambi meneja, vipi kuhusiana na wafanya kazi wengine nao nimesikia wameomba likizo?
boss: ni kweli waliomba likizo lakini mwisho wa siku walifuta maombi yao ya likizo hivyo basi wataendelea kufanya kazi kwa miaka 2 mfululizo na nitawaongezea mshahara.
damushin: ahsante sana bosi, nawatakia kazi njema wafanya kazi wote wa korean drama.
[HASHTAG]#anyeong[/HASHTAG]
 
Wapendwa napenda sana series za dictetive kama iris, sensory cop,, na usaliti katika mapenzi kama queen of ambition, tempetion of an angel,

Naomba mjina ya series sampuli izo wapendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…