Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sunbae,
Kama hujaanza safari rasmi naomba nikuulize, umeionaje drama ya Mother?
 
Wapendwa napenda sana series za dictetive kama iris, sensory cop,, na usaliti katika mapenzi kama queen of ambition, tempetion of an angel,

Naomba mjina ya series sampuli izo wapendwa
Mkuu tuna taste sawa ktk Korea drama ,hata Mimi napenda sample ya series kma hizo sanaaaaa...
Detective nakushauri cheki the innocent defendant kma hujauowana ,au IRIS 2 ,Athena ,a man called god ,3 days ,
Na za love na usaliti cheki kitu kinaitwa when a man love hutajuta ,

......na Mimi pia nasubiria recommendations ya sample ya series kma hizo
 
Wapendwa napenda sana series za dictetive kama iris, sensory cop,, na usaliti katika mapenzi kama queen of ambition, tempetion of an angel,

Naomba mjina ya series sampuli izo wapendwa
Cruel city.
Ghost.
Tunnel.
 
Aigooooo!
Komawao Oppa
Labda Sababu Napita Mure Mure...
 
Omo Omo...Miaka 7 Mbele Duuuuhh..
Na Apo Baada ya Kupata Familia Waweza Acha Izi Mambo
 
Drama ambazo nazikubali
1.Jumong
2.Goodbye Mr black
3.City hunter
4.Heartless city
5.Faith
6.Giant
7.scandal
8.Doctor strange
9.King of baking
10.Moorim school
 
Jinja? Ngoja niwe bundi leo niishushe. LOL!

Halafu chingu huu mtindo wa kusubiria subs nishaanza kuuchoka.
Nimejipangia hadi 2K18 imalize niweze hata kuomba maji kutumia Hangul.
Hahahah! Itabidi Nisubiri Ukishaweza Nami Nifate InshaAllah.
 

EMPTY Uko Shabiki Wa BingBang Naona Kijana Wako Anajiandaa Na Ndoa Apo.
That Smile.
 

Master,Ukipenda Muite Hyuk Au Nyuki Pia Mzalisha Asali, Mwenye Akili Kushinda Alilyelipiza kisasi Kiusomi Zaidi Wala Ajatumia Nguvu Sana Ya Mwili Zaidi Alotumia Yeye Ni Akili Kulipiza Yale Maumivu Aloyapitia.

Halabeoji Licha Ya Kuwa Bingwa Kwa Aya Mambo Ila Apa Kachemka....Mtu Ambaye Anaujua Uchafu Wako wote Unategemea Kipi!

NB
Sishauri Kisasi Hila Kwa Njia Alotumia Uyu Master Itakuwa Nzuri Zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…