aigoooooo
mjr95 andiko lako kuhusiana na drama ya admiral yi soon shin limenifanya niwe na mzuka kama nimekunywa soda ya bambucha, admiral yi soon shin nimefikia episode ya 26 ambapo tayari yi soon shin ameshafuzu millitary exam na amepelekwa kufanya kazi maeneo walipo wanyang'anyi wa jurchens.
bahati mbaya sitakupa support tena ya kuifatilia admiral yi soon shin kwani siku ya leo (5/02/2018) nimeshachukua maamuzi rasmi ya kuchukua likizo ya muda mfupi (makadirio ya mwezi 1 hadi miezi 3) sababu kuu itabaki kuwa ni siri yangu,wahenga wanasema maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge.
mianhae nae chingudeul.
하하하 하아아 (hahahahahaaa) yaani leo hii sehemu niliyohifadhia drama kwenye PC yangu nimeiwekea mgomo baridi ya kutokuifungua.
nachukua likizo huku nikiwa nimebakiwa na viporo vifuatavyo
- hwayugi (lee seung gi) : episode ya 9 mpaka ilipofikia episode ya 12.
- money flower drama (jang hyuk) : episode ya 23- 24 (final episode)
- black knight drama (kim rae won) : episode ya 19-20 (final episode)
- father is strange (kim young chul) : nimeangalia hadi episode ya 3
- mother drama( park bo young) : nimeangalia episode 1.
- yong pal (joo won) : nimefika episode ya 8
- romantic doctor teacher kim : nimefika episode ya 9
- kill me heal me (ji sung) : nimeangalia episode 1.
- defendant (ji sung) : aigoooo licha ya kuwa ndio best drama 2017 nimeangalia ep 1.
- goblin (gong yoo) : nimefika episode ya 5
- secret garden(hyun bin) : episode ya 4
- emperor wang guhn : episode 126
- strong woman dobong soon : nimeianza jana episode ya 1.
- temperature of love ; nimefika episode ya 20
- im not a robot : nimefika episode ya 4
- 2 cops : nimefika episode ya 15.
- rebel thief:hong gil dong : episode ya 15
- the producer (kim soo hyun) episode ya 9
aminas noona,
EMPTY dongsaeng,
mjr95 na chingus wote isipokuwa dada yangu
Prishaz (aigoooo musinidhanie vibaya) nawaomba munipunguzie notifications hususan zile zinazohusu drama.
korean drama forever