Beka Mpole
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 490
- 375
Thanks, Sante Sana na Kila Unayemzania Mzima Kumbe Hamna Kitu.
Mi Nilijua Yule Mama Mtoto Atakuwa Afadhali Kumbe Nae Pumba Lol!
Nilichopenda Kwao Ni Jinsi Wanavyopendana,Wanavyopeana Moyo Na Kufurahi Kila Mwenzao Anapofanikiwa. Na Wanjuana Wote Mambo Yao, Ni kitu kizuri Sana Wanafanya Au Kuonyesha Licha Ya Uchizi Wao.
Kuna Kitu Najifunza Sana Kwenye Hii Drama.
Yaani,Niliumia Mbavu APA Acha Tuuuh.Yeah ni kweli wote ni vichaa lakini wanapendana na kushirikiana sana, drama ni comedy lakini inafundisha pia kama Lee Yi Kyung na mahangaiko yake yanachekesha sana lakini pia anafundisha tusikate tamaa.safi sana hii drama aisee.yule mama naye na hip hop yake dah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo Wengi Kumbe.Can't wait for this Aisee
Can't wait for this Aisee
Yaani,Niliumia Mbavu APA Acha Tuuuh.
Baada ya kuambiw Ajuh Rap Akaanza kuwasusia na Kuwalisha Mkate Siku Mzima.
Nilipenda Ple Walipom surprise kwa kumwandalia Party ya Mwanae,Dah! Nilijikuta Natoka Naye Machozi,Ilinigusa Kiukweli.
Yote ya Yote Ni Drama Kali Sana Hii Sana
Yaani,Niliumia Mbavu APA Acha Tuuuh.
Baada ya kuambiw Ajuh Rap Akaanza kuwasusia na Kuwalisha Mkate Siku Mzima.
Nilipenda Ple Walipom surprise kwa kumwandalia Party ya Mwanae,Dah! Nilijikuta Natoka Naye Machozi,Ilinigusa Kiukweli.
Yote ya Yote Ni Drama Kali Sana Hii Sana
Unaweza taja jina Ata Moja La Kati ya Wawashiriki Umo Ndani.View attachment 697333wakuu nahitaji hii drama lakin jina lake ndo shida...inaelezea historia ya baekje lakin ugum unakuja nikitafuta baekje cioni so naona inajina jingine...naomba msaada wenu
View attachment 697333wakuu nahitaji hii drama lakin jina lake ndo shida...inaelezea historia ya baekje lakin ugum unakuja nikitafuta baekje cioni so naona inajina jingine...naomba msaada wenu
Nalalaje sasa huyu Kim Do Han ananinyima usingiziMkwe upumzike sasa, tangu nilivoleta msosi bado hujakula
Imebidi tu nije hapa. Currently naangalia Good Doctor ( yes nilikuwa nimeiweka kiporo). Damushin sunbae hivi unaweza kunitafutia namba ya huyu Dr Kim jamani nataka nihamishie majeshi kwake.
uyo mgeni jina lake nani nami nipate kumfahamu
Namkubari Tuuh Nimeona Nimkaribishe Umu..
Aigoo am so jealous...[emoji13] [emoji13] ila nitajibana hivyohivyo kama kamimba na mimi nitabeba wee siwezi kumwachia hivihivi
ikiwa umemkusudia jo sang wook napaswa nikutahadharishe ya kwamba mume wa mtu pia ni sumu, ila nashindwa kuelewa kwa nini sumu hazikuletei madhara yoyote kwako kwa sababu umeshatia fitina kwa wenzako wawili ninaowafahamu
pia ulitaka kumpindua aminas kwa lee seung gi ila bahati nzuri ukahairisha mikakati ya mapinduzi,
- bae suzy
- liu yi fei
nakuomba umuachie mwanadada Cha Ye Ryun afurahie ndoa yake hususan kipindi hiki cha ujauzito.
Meghan Markle.uyo mgeni jina lake nani nami nipate kumfahamu
tafadhali