Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwanza ye Si Abakie na Min ho Wake.
We Kwa Seung Gi Tungekabana.
 
Aigoo am so jealous...[emoji13] [emoji13] ila nitajibana hivyohivyo kama kamimba na mimi nitabeba wee siwezi kumwachia hivihivi
aigoooooooo basi huu ni muda muafaka wa kumfanya jo sang wook awe wako cha kufanya mpelekee kahawa,chakula, nguo za kujihifadhi na hali ya hewa ya baridi kila siku kwenye film location ya grand prince drama, naamini atamsahau mama kijacho kama atavutiwa na matunzo yako.
 
Mbona Mwanaume
 
Kuna Alowahi Ona Hii Drama Ya Mirror of the Witch au kwa jina lengine inaitwa Secret Healer!???
Drama mbaya haijapata kutokea kwenye ulimwengu wa kdrama. [emoji23] [emoji23] mtazamo wangu ila
 
Unanipa mbinu za kuiba mume wa mtu siku nikimwagiwa tindikali uje unisaidie[emoji23]
 
Unanipa mbinu za kuiba mume wa mtu siku nikimwagiwa tindikali uje unisaidie[emoji23]
하하하 하아아 wakorea wanamaliziana mahakamani, kama kuchukua mke au mume wa mtu unamwagiwa tindi kali basi angemwagiwa lee byung hun baada ya kucheat japo kuwa alishinda kesi.

“Every relationship has problems but you don’t throw it away when it’s not working. You fix it, just like how everyone used to fix their telephones and television sets. These days, people just throw them away and buy new ones.”

maneno ya mwanadada lee min jung alipokuwa akihojiwa na vyombo vya habari miaka miwili iliopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…