Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hiii Drama Damushin Sijuhi Nithemeje Lakini Mi Kwangu Imenifanya Niaangalie Kwa Macho Matatu, Utacheka Umu Ndani, Utajifunza Vile Mi Najifunza, Utalia Kama Una Moyo Wa Machozi Vile Mi Nalia Na Utatoka Na Kitu Ni Drama Ambayo Imenipa Kila Kitu Kati Ya Drama Chache Zilizonifunza Kiukweli,

Mahusiano Ya Chawbacca Na Joon ki Ni Vituko,

Joon Ki Achoki Kujaribu Kwa Lolote Litokealo Mbele Yake Kwa Ajili Ya Kufanikiwa Kwenye Maisha Yake

Wanapeana Moyo Kwa Kila Kitu Wafanyacho Na Kufurahi Kwa Kila Mwenzao Akifanikiwa Na Uku Upendo Ukitawala kwenye Maisha Yao (Nguzo Kubwa Sana Hii Ya Urafiki) Usipoangalia Vizuri Utadhani Wote Ni Ndugu Kumbe Marafiki Tuuh,
 
Mpaka Leo Hii Drama Sijaimalizia (Sijuhi Naugonjwa Gani Kuacha Viporo vya Episode za Mwisho)
 
Song Joong Ki Receives Offer To Star In Upcoming Historical Drama
DY_Kim March 11, 2018



Song Joong Ki is working on selecting his next project!
On March 12, it was reported that the actor is in talks to star in new historical drama “Asadal” (working title).
In response, his agency commented, “It is true that Song Joong Ki received an offer to star in historical drama ‘Asadal.” However, the agency added that nothing has been decided regarding his next project.

Not much is known about “Asadal,” but it will be written by Kim Young Hyun and Park Sang Yeon, who wrote “Tree with Deep Roots,” “The Great Queen Seon Deok,” and “Six Flying Dragons” in the past. The director is Kim Jin Won, who previously led “The Innocent Man,” Song Joong Ki’s first drama with a leading role.
 
Joon Ki kiboko! Ana lile neno anapenda kulitamka, "Kwenchana, Kwenchana"! Hapo ndio hunimaliza mbavu kabisa.

Ile scene ambayo wameenda ku-bet umeiona?
 
Joon Ki kiboko! Ana lile neno anapenda kulitamka, "Kwenchana, Kwenchana"! Hapo ndio hunimaliza mbavu kabisa.

Ile scene ambayo wameenda ku-bet umeiona?
Yaah! Nayeye Ndo Kila Siku Anawaingiza Wenzie Chaka Huwaga Wanasema Wasimsikilize Ila Kila Akiongee Lazima Wamfate Asemacho.

Kwenchana EMPTY
 
Yaah! Nayeye Ndo Kila Siku Anawaingiza Wenzie Chaka Huwaga Wanasema Wasimsikilize Ila Kila Akiongee Lazima Wamfate Asemacho.

Kwenchana EMPTY
Hahahaaa!! Neee.

Hivi neno "Waikiki" lina maana gani, Chingu?
Maana kila nikilisomaga hizo silabi 2 za mwisho naishia kucheka. te heh teh!

cc: Damushin sunbae.
 
Iyo historical drama ya ASADAL naamini itakuwa ni nzuri kwa sababu ya waandishi wawili mahodari watakaoandika hadithi ya drama hiyo ambao kazi zote tatu walizoandika huko nyuma zimefanya vizuri.
sijawahi kuangalia drama inayozungumzia maisha ya Gojoseon na sidhani kwa miaka hii kama kuna project yeyote inayozungumzia utawala wa GOJOSEON ila akipenda maulana haijalishi muigizaji yupi atakayeongoza drama hiyo nitajitahidi niiangalie.
  1. Kwa mujibu wa vitabu vya kihistoria ni kwamba Asadal ulikuwa ndio mji mkuu wa nchi ya Gojoseon ambayo ilikuwa ndio kingdom ya kwanza kutawala kwenye peninsula ya korea.
  2. muanzilishi wa gojoseon alikuwa anaitwa Dang gun, aigoooooooooo wanasema ya kwamba dang gun ni mjukuu wa mmiliki wa pepo (lord of heaven) ambaye alikuwa anaitwa Hwanin.
  3. Hwanin alikuwa na mtoto wake anaitwa Hwanung ambaye aliamua kuja kuishi duniani kwenye mabonde na milima, hivyo basi hwanin alimruhusu mwanawe hwanung aje aishi duniani pamoja na watumishi 3000 kwenye milima ya baekdu.
  4. hwanung akafanikiwa kuanzisha mji wa sinsi (city of god) akishirikiana na mawaziri wake ambao ni mbingu, ardhi ,mvua na walitunga sheria na miongozo kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu na vile vile aliwafunza binadamu fani mbali mbali kama sanaa, udaktari n.k.
  5. alikuwepo chui (tiger) na dubu (bear) ambao walitaka kuwa binadamu hivyo basi hwanung alisikia maombi yao na akawapa 20 gloves of garlic watumie kama chakula na hawapaswi kukaa juani kwa siku 100.
  6. baada ya siku 20 bwana chui uvumilivu ukamshinda na kuamua kutoka kwenye pango lakini bear (dubu) aliendelea kuvumilia hadi siku zilipokwisha na hatimae akawa mwanamke.
  7. baada ya kuwa mwanamke aliitwa ung-nyeo lakini bahati mbaya hakuwa na mwanamme hivyo basi hwanung akaamua kumfanya kama mke wake na wakafanikiwa kuzaa mtoto ambaye ni danggun wang geom.
  8. baadae dang gun alirithi madaraka na akajenga mji wenye kuitwa Asadal ambao ulikuwa upo karibu na mji wa Pyongyang (mji mkuu wa korea kaskazini) na inakadiriwa ilikuwa ni mwaka 2333 BC. omo omo omo nilikuwa nishazaliwa wala musinibishie kwa sababu mimi ni jiwe.
  9. baada ya miaka na miaka kwenda mbele muheshimiwa dang gun alirudi peponi.
  10. miaka ilikwenda mbele wajukuu wangu hadi mnamo mwaka 108 na 109 BC ambapo Han dynsty walifanikiwa kuangusha utawala wa gojoseon na kuigawanya gojoseon kupitia mikoa minne. kampeni ya kuivamia gojoseon iliongozwa na general yang fu na wanajeshi 50000.
  11. mnamo mwaka 313 BC baada ya harakati za muda mrefu za kudai uhuru hatimae DONGMYEONG JUMONG alifanikiwa kuanzisha taifa la Goguryeo, kazi ambayo ilimshinda baba yake ambaye ni haemosu, hivyo basi Han walipoteza baadhi ya maeneo waliokuwa wakiyatawala.
  12. Hadithi yangu imeishia hapo, kunjeni mabusati na majamvi tukalaleni watoto wazuri kesho asubuhi muwahi darasani kabla ya mwalimu wa darasa hajaingia kwa ajili kuwasomesha.
 
Nilikuwa naulizia kuhusu hiyo miaka, Sunbae!
Hapo si tumerudi miaka mia 2 nyuma?
 
Hahaha Waikiki ndo drama yangu sasa maana natizama nacheka mpaka machozi, huyo jun ki na hizo harakati za kutoboa ni nomaa.
 
huyu mourinho na manchester united yake leo wamenikosesha usingizi, kwa hasira zangu za mwendokasi nimeamua usiku huu nijiunge kifurushi cha gb 16 ni mwendo wa kukesha mpaka saa 1 asubuhi.
hahahahahaaaaaa kumbe aminas ni mshabiki wa simba,
usniulize nimejuaje ila kwa nini unapenda timu ambayo haina hata uwanja wa mazoezi au ndio uzalendo?
EMPTY dongsaeng ni mchezo upi unaokuvutia
usinambie unavutiwa na mchezo wa net ball?
  • hwayugi
  • waikiki
  • kings dream
  • emperor wang guhn
  • empress chunchu
  • yi soon shin
  • grand prince
  • yi san
  • my sassy girl
  • temperature of love
  • mother
  • kill me heal me
zote hizo leo nataka niziendeleze kuzihifadhi.
upande wa pili mimi sivutiwi kabisa na muziki wa korean pop na hata hip hop yao lakini huu wimbo wa big bang unaoitwa flower road ambao wameuachia jana kwenye media umenivutia.

nikimuona T.O.P huwa nakumbuka balaa lake kwenye drama ya IRIS 1 miaka 9 iliopita.
 
K-pop group Big Bang's Taeyang and Daesung start military service

Taeyang and Daesung of K-pop group Big Bang have both begun their mandatory military service.
Taeyang joined the army on Monday (March 12) while Daesung joined on Tuesday, Yonhap news agency reported.
Taeyang will undergo his five-week basic training in Cheorwon, Gangwon Province, after which he will be assigned to an army unit, according to his agency YG Entertainment.
Fans gathered at the scene to say goodbye to the star on Monday afternoon, while his wife Min Hyo Rin was absent from the scene.
Daesung on the other hand will begin his basic army training session in Hwacheon, Gangwon Province. He will later be assigned to an army unit, where he will serve out the rest of his duty, Yonhap reported.
Big Bang leader G-Dragon and rapper T.O.P, who is currently serving as a public service worker after being dishonourably discharged from the police due to charges of marijuana use, enlisted on Feb 27 and January last year, respectively.
Seungri, the only Big Bang member who has yet to start military service, plans to enlist after releasing a solo album sometime during the first half of the year.
Aside from his group activities, Taeyang has led a successful solo career with hits such as Eyes, Nose, Lips and Darling. He released his third full-length album White Night in August last year. He tied the knot with singer and actress Min last month.
Daesung's solo career has taken him to Japan where he released two solo albums,D'scover and D-Day.
Big Bang will also release Flower Road, an unpublished special song on Tuesday to bid farewell to fans during their hiatus.
 

Attachments

  • upload_2018-3-14_4-57-23.png
    159.3 KB · Views: 59
Hahahahhaha! Uo Ukorofi Damushin Umejuaje Kama Napenda SIMBA Lol!

Kiwanja Tutajenga Tuu.

Ni Kweli Mi Nimpenzi Sana Wa Mpira, Naishabikia Na Nikindakindaki Wa SIMBA Kwa Ndege Naishabikia MancheUnit Lakini Siku Izi Nimepunguza Mapenzi Nayo.
 
Lol Bwana Harusi Ata Ajaifaida Ndoa, Korea Nao! Mmmhh!
 
Sunbae unapata wapi muda wa kutizama boli? Watu tupo busy tuna nanihilii... nanihilii! Siunajua?
[HASHTAG]#Nimevurugwa[/HASHTAG]
 
15/03/2008 -15/03/2018​
song il kook na mwanamama jung seong yeon leo hii wametimiza miaka 10 kwenye maisha yao ya ndoa.
daebak daebak daebak.
haya maneno yaliyoandikwa kwenye kadi ya mwaliko wa harusi yao lazima uhudhurie hata kama huna nguo nzuri ya kuvaa au kuna mechi ya simba na yanga uwanja wa taifa.
unasoma kadi ya mualiko huku moyo wako ukiwa umejaa furaha na hamu ya kwenda kushuhudia tukio la kihistoria lakini huku kwetu waandishi wa hizi kadi ni full vituko.
aigoooooo kuna kadi moja ya mwaliko wa harusi mwisho iliandikwa
tafadhali mgeni mualikwa unapaswa uje na sahani yako ya chakula na gilasi ya kutiliwa kinywaji.
하하하 하하하하하하하하 하하하하하하하하 하하하하하하하하 하하하하하

Announcement to Heavens
In the spring when sprouts do sing,


Two people whose fate has been brought together by the heavens have prepared a wedding hall to promise to grow old together in wedded life. We shall attend to you as one serves a nobility, and wish upon for your presence so that the place where the blue yarned silk lantern shines will shine brighter. In the month of water rising, on the 15th periods of the days, the unity of one shall be raised. We announce to the heavens and bid to the world our sacred and joyful nuptials.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…