Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Hiii Drama Damushin Sijuhi Nithemeje Lakini Mi Kwangu Imenifanya Niaangalie Kwa Macho Matatu, Utacheka Umu Ndani, Utajifunza Vile Mi Najifunza, Utalia Kama Una Moyo Wa Machozi Vile Mi Nalia Na Utatoka Na Kitu Ni Drama Ambayo Imenipa Kila Kitu Kati Ya Drama Chache Zilizonifunza Kiukweli,EMPTY dongsaeng huyu tae hyun amenichekesha sana kwenye episode 3 baada ya kugundua mwanadada seo jin anatatizo la kuota sharubu kama mwanamme ndio maana anamficha sehemu ya uso wake, basi alimwambia
"hata kama kichwani kwako utaota migomba yenye kutoa ndizi basi mimi nitaendelea kukupenda."aigooooooo upendo aliyouonyesha kwa seo jin ni wa kiwango cha standard gauge na zawadi aliyompelekea ya kudhihirisha upendo kwake ndio imemaliza kila kitu.
seo jin anafungua box anakuta kiwembe.
하하하 하하하 아아아하하하 하하하 아아아하하하 하하하 아아아하하하 하하하 아아아
siku yao ya kwanza kudate wameachana baada ya jamaa kushindwa kuacha tabia ya kuchokora pua yake.
kwi kwi kwi kwi
waikiki drama ni balaaaa kuna rafiki yangu nimempa episode 4 za mwanzo basi muda huu ananitafuta kwa nissan nyeupe, sijui anataka kunikutanisha na mmiliki wa kampuni ya nissan?
![]()
![]()
Mahusiano Ya Chawbacca Na Joon ki Ni Vituko,
Joon Ki Achoki Kujaribu Kwa Lolote Litokealo Mbele Yake Kwa Ajili Ya Kufanikiwa Kwenye Maisha Yake
Wanapeana Moyo Kwa Kila Kitu Wafanyacho Na Kufurahi Kwa Kila Mwenzao Akifanikiwa Na Uku Upendo Ukitawala kwenye Maisha Yao (Nguzo Kubwa Sana Hii Ya Urafiki) Usipoangalia Vizuri Utadhani Wote Ni Ndugu Kumbe Marafiki Tuuh,