Link itakuwa ime-expire tayari.Baada Ya Kupaste Hii Link Kushindwa Nikaanza Kudownload Yenyewe Sijuhi Ata Nilibonyeza Wapi Na Wapi
Sasa Naona Imegoma Kati Kati
Unashangaa nini mkuu?
Okay Ngoja Nijaribu HiiLink itakuwa ime-expire tayari.
Chakufanya nenda tena website ulipoi-download hiyo ep then ipakue tena.
Hiyo link mpya itakayokupa ndio ufuate step za kuipaste.
Subiri kidogo kisha bofya UPDATE.
View attachment 734042
Mbona Mi Hainiletei Iyo Start?Link itakuwa ime-expire tayari.
Chakufanya nenda tena website ulipoi-download hiyo ep then ipakue tena.
Hiyo link mpya itakayokupa ndio ufuate step za kuipaste.
Subiri kidogo kisha bofya UPDATE.
View attachment 734042
Kwenye hiyo hatua ya mwisho?Mbona Mi Hainiletei Iyo Start?
NdioKwenye hiyo hatua ya mwisho?
Sijajua nini hasa tatizo. Jitutumie nipate screenshot chingu!Ndio
Iko poa sana
Aisee mbona shida hii. haha kupigwa muhimu mpaka ajue kubaki njia kuuannyeong haseyo Khantwe noona.
uwezo wake wa kuona umepungua ndio maana anavaa miwani, halafu upunguze kumpiga mchumba wako yaani umesababisha meno mawili ya mbele kung'oka. najua song manse ana tabia za kuchepuka ila unapaswa umvumilie.
si unajua tena mke mmoja hatoshi kwa utamaduni wa kwetu.
Ipo nyingine man who set the table ya kifamilia nayo nzuri sana ina vipande 50tokea nianze kufuatilia korean drama nimebahatika kuangalia drama moja tu yenye mandhari ya kifamilia ambayo ni my fairy lady (oh my geum bi)
leo nimeanza kuangalia family drama nyengine inayoitwa my father is strange na ina jumla ya episode 50.
kupitia drama hii muigizaji veterani kim young chul alifanikiwa kushinda tunzo ya kbs daesang 2017,
daebak ni miezi minne imepita tokea nizidownload episode 5 za mwanzo lakini ndio naanza kuiangalia siku ya leo.
Nimeipenda Signature Yako.Baek Ji Young was one of 160 South Korean artists who recently performed in North Korea.Baek Ji Young Talks About Performing In North Korea
South Korean singers and performers held special concerts in Pyongyang from March 31 to April 3. The star-studded line-up included Cho Yong Pil, Lee Sun Hee, Yoon Do Hyun, Jung In, Ali, Red Velvet, and GIrls’ Generation’s Seohyun.
Baek Ji Young said, “I couldn’t believe it even when I was singing in Pyongyang. I heard that they especially like my song ‘Like Being Shot by a Bullet.’ It meant a lot to be together and it was a profound moment.”
The singer performed at the East Pyongyang Grand Theatre on April 1 and at the Pyongyang Arena on April 3.
Her ballad “Like Being Shot by a Bullet” was reported to be popular amongst young North Korean men for its lyrical melody and sad lyrics.
After watching her perform on April 1, North Korean leader Kim Jong Un reportedly showed interest in the singer’s performance. Art director and head of South Korea’s Minister of Culture, Sports, and Tourism, Do Jong Hwan, said, “Since Baek Ji Young sang passionately, [Kim Jong Un] asked if it was a new song and what kind of singer she was. He was very interested in South Korean songs and singers.”
Baek Ji Young said, “The thing I remember the most is the facial expressions of the audience members who were enjoying the performance. I think we were able to have a successful performance because North and South Korea worked together. Every moment was moving. I sincerely hope that more diverse forms of cultural exchange can happen.”
aigoooooo kila la kheri kwa ndugu hawa wawili katika harakati zao za kurudisha uhusiano uliobora na wenye manufaa kwa pande zote mbili.
hii habari imenishangaza sana, hahahahahahahahaaaa kim jong un inaonekana hana hata muda wa kufuatilia muziki wa korea kusini.
huu wimbo wa baek ji young unaoitwa Like Being Shot by a Bullet aminas noona unanikumbusha drama ya my love from another star, do min joon alipomwambia cheo song yi wapendane ndani ya mwezi mmoja tu kwa sababu anataka kurudi kwenye ulimwengu wake wa asili alipotokea.
cheon song yi ikamlazimu anukuu mashairi ya wimbo huu kwa uchungu akiwa kwenye gari ya mpinzani wake.
HiSijajua nini hasa tatizo. Jitutumie nipate screenshot chingu!
Yani ukifungua tu ADM unagusa alama ya + then unapaste file la url kwenye link automatic hapo chini itakuletea start.. hata kama hlo file ulilocopy lilikuwa halijaanza kudownload ila file lake limekuja pind ulipoclick download ina kubaliMbona Mi Hainiletei Iyo Start?
Uyo Mama Mwenye Red Nishamuona Kwenye Movie Ya RV. Resurrected Victims Ambayo Kim Rae Won Nae Kacheza, Nilimpenda Mule ndani Amecheza Vizuri Sana. Nahisi Ata Umu Yupo Vizuritokea nianze kufuatilia korean drama nimebahatika kuangalia drama moja tu yenye mandhari ya kifamilia ambayo ni my fairy lady (oh my geum bi)
leo nimeanza kuangalia family drama nyengine inayoitwa my father is strange na ina jumla ya episode 50.
kupitia drama hii muigizaji veterani kim young chul alifanikiwa kushinda tunzo ya kbs daesang 2017,
daebak ni miezi minne imepita tokea nizidownload episode 5 za mwanzo lakini ndio naanza kuiangalia siku ya leo.
Duuuh Huu Undezi Mi Maelezo Yako Yananipa Nyota Zaidi!Yani ukifungua tu ADM unagusa alama ya + then unapaste file la url kwenye link automatic hapo chini itakuletea start.. hata kama hlo file ulilocopy lilikuwa halijaanza kudownload ila file lake limekuja pind ulipoclick download ina kubali
Jaribu hivi kabla ya kupaste hapo kwenye editor kuna vidot 3 click then shuka chini utakutana na kitu user agent then select android stock afu jaribu tena